Wanaweza toa report sahihi ila isifanyiwe kazi yoyote mana wahusika ni washirika wa Samia au watatoa report ya kumpamba tu.
Kifupi taasisi zote zimeshakua paralyzed na wanafanya kumridhisha au...
Kundi la Wachokonozi linaloundwa na Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo walikamatwa na watu waliodai kuwa ni askari polisi katika eneo la Maji ya Chai, wilayani Arumeru, Arusha.
Kwa mujibu wa...
Mtume Boniphace Mwamposa ametamka: “Watanzania wengi ni wavivu ” Watu wakakasirika, wengine wakabaki kimya. Lakini hii si mara ya kwanza kauli hii kusemwa na mtu maarufu kama Mtume Mwamposa...
Niliziba jino miaka mitatu iliyopita, kama week tatu hivi zilizopita likaanza tena kumeguka zile sehemu zilizokua zimezibwa, baada ya siku kama tatu likaanza kuuma, nikaanza kutumia dawa za asili...
Hotuba ya leo kutoka kwa manyota, kwa namna alivyokiri kuua waandamanaji, nachelea kusema kuwa Balozi Polepole sidhani kama yuhai huko anakoshikiliwa na mamlaka.
Nahisi amepitia maumivu makali...
Lugha za mipasho zilitamalaki
Hili limetuvunja moyo na kutuudhi wakatoliki
Siamini kuwa raia namba 1 alishindwa jinsi ya kuwataja Kwa heshima maaskofu catholic na kuwajibu hoja zao kuliko...
Email na website haijitegemei kwamba isifungamane na upande wowote ili sasa tume itoe taswira ya kilichotokea pasi na kuegemea upande wowote. Sasa kinachoonekana ni Dulla anamtafuta Abdalla. Maana...
Za chini chini inasemekana bibie nae alikuwa na tabia za umiodo wa tanga yule yule mmbea akapeleka na umbea wa jojo bwama kwa mama ndio maana jojo juzi hapa alitolewa kule juu kijani now yupo...
Nimeona mjadala mkubwa wa Gen Z huko Tiktok kuhusu hii picha ya mtu aliyekuwa akiwananga huku akiwa amewashikia kiuno.
Vijana wanaulizana, kwani anatuchukuliaje?
Ilikuwa ni lazima aongee...
Inasemekana Mange wameshtakiwa hapo Kisutu Kwa makosa ya kiuchumi.
Kumbuka Ahadi ya kwanza ya mwanasheria mkuu wa serikali ilikuwa kumrudisha na kumkamata Mange ambaye anaishi. USA na Sasa ni...
Tafadhali naomba wale Wataalam (Mangwena) wa IT mje mtuelimishe hapa na anzeni kwa kutuambia ili ufanyeje Meta wasikufungie na pia ukifanya nini Meta wanakufungia. Mkimaliza kunielimisha hapa...
SERIKALI imesema inatambua na kuthamini mchango wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB) katika kupanua wigo wa upatikanaji wa huduma jumuishi za fedha kwa wanawake pamoja na wajasiriamali wadogo na wa...
Samia anaongoza nchi vibaya ba ukimkosoa machawa wake watakuambia unamkosoa kwa sababu ni
1. Mwanamke
2. Mzanzibari
3. Muislamu
Sasa hapa nina swali au maswali
Tunakubali kuwa Rais naye ni...
Miaka 6 ya utawala wa Mwendazake ilikua ya Machozi, Jasho na Damu kwa Watanzania. Haya ni baadhi ya matukio niliyoyakumbuka kwa haraka, baadhi yalitokea nikiwa huko nyumbani na mengine yametokea...
Nasikia barabara ya bandari dar imefungwa mlioko dar tuambieni kwanini?
Halafu waliovalia sare za Jeshi la wanachi wakilinda vituoni vya mabasi ni wanajeshi kweli au kuna watu tu wamejishonea...
Kama una vihela benki katoe zote, kama una hela M-Pesa toa zote kuwa na hela yako cash soon anguko linakuja, msije sema hamkujua
Taarifa ndio hiyo kuwa na hela yako cash utachimbia ndani au...
Hii nchi kunashida ya genetic za waafrika halafu anajiita dokta sijui wa nini?.
Yani katika vitu tanzania vitakuja kusababisha matatizo ni hawa CCM wanaotawala kwa kujipa vyeo na elimu ambazo...