Inakuwaje muislamu ni kwambia kwa kiswahili amani iwe juu yako.
Cha kushangaza hii dini inatakiwa kuelemisha watu waelewe sio kuongea kiarabu mkajiona dunia mpo pamoja yani kuwa shaekh au...
Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally
Serikali inachukizwa sana na kitendo cha kujivunia mapato kinyume na Sheria
Biashara isiyokuwa na Leseni...
Kufungia account za wanaosema ukweli na wanaharakati kwenye mitandao ya kijamii kupitia Meta kunaonesha kujipoteza.
Mi navyo wafahamu warusi na nchi nyengine ambazo social media zao zijaweza kuwa...
1. Lissu yupo gerezani Toka mwezi wa April, Kwa kesi ya kumbambikiwa ya ugaidi
2. Lissu na Chama chake hawakuwa na mgombea. Hivyo hawakuwa na muda wa kufanya kampeni na kunadi wala kuchochea...
Kama Kiongozi ni Mgonjwa wa Afya ya Akili, Nini kinapaswa kufanyika? Madaktari wa Afya ya akili na wataalam wa saikolojia mtusaidie! Nini kinapaswa kufanyika ili kuepusha madhara zaidi? Kama...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Watu Wenye Ulemavu), William Lukuvi, amesema vijana wenye umri wa miaka 15-24 bado wako katika hatari kubwa ya kupata maambukizi ya...
Wakati wa vita au machafuko makali mara nyingi thamani ya pesa hupungua kwa kasi sana, au hata kupotea kabisa(mtu anagoma kukupa huduma hata kama una pesa.)
Anajua makaratasi hayo yanaweza...
Yes hii ipo Tanzania, waziri anagawa watu kwa imani zao, hii ndo shida ya madaraka ya kupewa.
Siku za karibuni tumemsikia waziri mmoja akijinadi Ikulu ilikua madrasa wote tunaelewa kazi ya madrasa...
Mkurugenzi wa Kituo cha Usaidizi wa Kisheria cha Everlasting Legal Foundation (ELAF), Dkt. Hamis Masoud, amelaani vikali lugha za uchochezi wa kidini, akisisitiza kuwa kama tunakwenda kwenye hatua...
Kesi ya Mange yaahirishwa hadi Januari 28, 2026, Upelelezi haujakamilika
Kesi ya Uhujumu Uchumi Na. 000021172 ya mwaka 2025 inayomkabili mwanaharakati Mange Kimambi imeahirishwa hadi Januari 28...
Hii ni taarifa ya bank moja nimepata, hii inaenda kuathiri miamala karibia yote.
Chukua hatua mapema
Ndugu mteja, kutokana na maboresho yaliyopangwa ya mfumo wa TISS kuanzia tarehe 06/12/25 saa...
Utabiri ambao umejificha ktk kifo cha Simba Bob Junior ama kwa hakika ni Utabiri wakutisha Kuna watu wanadhani may be unahusu serikali ya sita vile umetokea na mwezi ulio tokea.
Mimi nataka...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padri Dkt. Charles Kitima ameongoza Adhimisho la Misa Takatifu ya shukrani kwa mara ya kwanza baada ya kutoka hospitali alikokuwa...
Majukumu haya ya msingi ya JWTZ (Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa letu na usalama wa raia. Lakini, ni vyema tujitahidi kutafakari kwa undani kuhusu...
ESCAPE FROM SOBIBO D9
Kuelekea D9 tunaona jinsi kulivyokuwa na movemet kubwa ya watu kurudi vijijini,
Wengi wanaishi maeneo ya uswazi na vipato vya kati, sehemu ambazo kikinuka, mnanuka wote...
Mwamba Kingpusi mchekeshaji maarufu kwenye mitandao ya kijamii na timu yake ya uchekeshaji wanaingiza hela ndefu sana kwa kuposti video zao fupifupi za kitoto na za kujitoa ufahamu.
Kwa mwezi...
Niliingia kwenye ajira 2018 ualimu. Mwaka Jana nikakopa million 16 lakini yote imeisha maana nilitia kwenye biashara ya duka la nguo naona hasara tupu hata Kodi ya frame nashindwa kulipa...
GT
Majira ya sa tisa kama na nusu hivi Internet kama ilikata mpaka saa kumi na moja alfajiri
Siyo Internet tu lakini hata simu zilikuwa hazitoki. Niliogopa na kufurahi kwa wakati mmoja nikahisi...
Wakenya katika mitandao ya kijamii walipanga kususia kupanda daladala (matatu) maarufu ya R.O.G. baada ya moja ya magari yake kubeba picha ya Rais wa Samia Suluhu Hassan.
Mjadala huo uliibuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.