Wakenya katika mitandao ya kijamii walipanga kususia kupanda daladala (matatu) maarufu ya R.O.G. baada ya moja ya magari yake kubeba picha ya Rais wa Samia Suluhu Hassan.
Mjadala huo uliibuka...
Haya ndio mweshimiwa lissu aliyakataa yani utoke kwa makubaliano kisa mkubwa na sio mahakama.
Angalieni video vizuri ya niffer ambayo unaona alivyotoka mahakamani bado yupo na mapolisi na...
Shoppers sikuizi wahudumu wenu wana wajali sana wazungu kuna ka ubaguzi pia wahudumu wana lugha chafu una uliza ili upate kujua ila unajibiwa kama una fukuzwa kwamba usirudi tena hapa
Ipo hivi...
My people,
Haya yanayoendelea sasa ni kiporo cha mambo ya nyuma ila bahati mbaya kiporo hiki kinapashwa na ubwabwa wa leo,ndio maana tunaona huu msuguano ambao unaendelea hivi Sasa
Ukiangalia...
Siku za nyuma hapo nimewahi kuunga vifurushi vya wiki mara nne kwa siku kama masihara vile. Nikicheki settings zangu ziko bomba nikipiga huduma kwa wateja wanang'ang'ana na hoja za kukariri...
Katika hili mtaniunga mkono. Zichanganywe amapiano, kwaito, Jive, hata na reggae. Meseji ziwe nzuri na fupi zenye hamasa. Midundo mizuri na melody tamu.
Nyimbo kama hizo zinagusa hisia. Mtu...
META ina Wanasheria wakubwa sana duniani, haifanyi maamuzi kwa kukurupuka, kuuliza kwanini imefunga account ni sawa na kujidhalilisha
Kabla ya kufunga account za watumiaji inahakikisha ina...
MWAUWASA, tunaomba taarifa ya haraka.
Kwa takribani mwezi mzima Yengezi yote hakuna maji, na sasa tatizo limejirudia tena bila maelezo yoyote kutoka kwenu. Wananchi tunapata usumbufu...
TEC hakuna mahali popote walitopo tamka wala kuongelea usislam ama waislamu.
Wao wamekuwa specific juu ya hii serikali ya wahuni inayoua na kuteka raia wake.
Chaa ajabu kobazi huwezi ona kati ya...
Kumekuwa na tabia za watu kutoa taarifa za uongo na kuchangia vitu vya uongo kwe mitandao ya kijamii hasa JF kwakuwa wana uhakika hawawezi kukamatwa hivyo kuharibu malengo halisi ya jf na mitandao...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata madereva watano wa magari ya kubebea wagonjwa kwa tuhuma za kubeba abiria kinyume cha sheria.
Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Alex Mkama...
Ndugu wajumbe
Nimesikia mahali Posho yangu kidogo niliwapa wapinzani maana walikuwa vibaya sanaa wamechoka kwenye nchi za watuu.
Uchambunzi huru.
Serikali yao ndio iliyosababisha wakimbie nchii...
Mwaka 1985 nikiwa mahabusu pale Bunda, ulinisaida wewe na familia yako mara baada ya kujidhamini mimi mwenyewe mahakamani (Hakimu alikuwa anaitwa Monica).
Ulinichukua hadi nyumbani kwenu...
Mimi ni mkulima wa tumbaku wilayan Kakonko, Kigoma. Msimu wa mwaka 2024/2025 tulikuwa na mkataba na MAGEFA GROWERS LIMITED ambapo masoko yote matatu yaliisha mwezi wa sita na ilitakiwa tulipwe...
Gerezani ni mahala ambapo kila Mtu apendaye Uhuru anapaona bora uwe hospital umelazwa hata kama hujui ni lini utapa ahueni ila utakuwa na tumaini la Uhuru na kukutana na wapendwa wako kwa wakati...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru washtakiwa 47 waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka ya uhaini katika mashauri mawili tofauti shauri la kwanza likiwa na washtakiwa 11 na la pili likiwa...
Eze 10:18 SUV
[18] Kisha huo utukufu wa BWANA ukatoka pale juu ya kizingiti cha nyumba, ukasimama juu ya makerubi.
Nabii Ezekieli aliona maono ya kusikitisha sana, aliona utukufu wa Mungu...
Ujumbe Kwa dada Niffa
Assalamu Alaikum wa Rahmatullah Niffa,
Ningependa nikushirikishe maneno ya wema na hekima kwa sababu nakuheshimu kama dada yangu katika Uislamu, na natamani uishi maisha...
Habarini,ni wazi uongozi au jeshi bora siku zote hutikana na watu wake wa chini kuwa bora kwa uadirifu katika nidhamu,hekima,ukweli na uwajibikaji.
Wasaidizi wengi wa Rais ni mamburura wa kutupa...