Mda unavyozidi kwenda kutakuwa sio siri tena.
Alivyokuwa anapokea kijiti tulijua neema ila kwa miaka 4 yake tushafikisha deni la trion 107,ufisadi wa kutisha,mauwaji yasiyo na ukoma na mambo ya...
TATIZO KUBWA – WITO WA HAKI NA UWAZI KIFEDHA TANZANIA
Kampuni ya Peachy Village Company Limited, yenye makao yake makuu Dodoma, Tanzania, imejikuta katika hali mbaya kifedha baada ya kufunguliwa...
Hii dunia bhana ina maarifa mengi yaliyojificha. Kuna kipindi niliwahi pata vifungo vya kichawi, nikawa naenda kinyume na dunia inavyotaka. Basi, baada ya kupambana muda mrefu bila kupona...
Kabla kuelezea tafauti zao, vitu ambavyo wanafanana ni kila mmoja anapenda kukaa kwenye rika lake,mfano matajiri hupenda kujitenga na matajiri wenzao likewise maskini
Lakini tafauti kubwa ni...
Serikali mpaka sasa zimebaki siku 4 tuu kufikia 9 dec Watanzania wenzangu tusiandamane maana sasa hivi vita ni kati ya TEC na serikali ya Tanzania, BAKWATA NA TEC hii vita vya udini ni mbaya...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Ni maono hayo niliyaona leo usiku
Ni huzuni sana
Niliona nyumba moja nzuri sana inayofanana na Tanzania inayomilikiwa na mwanamke...
THERE ARE FOUR TYPES OF INTELLIGENCE.
According to Psychologists, there are four types of Intelligence:
1) Intelligence Quotient (IQ)
2) Emotional Quotient (EQ)
3) Social Quotient (SQ)
4)...
THE ISSUE
Peachy Village Company Limited, based in Dodoma, Tanzania, has recently faced a dire financial crisis due to unauthorized bank accounts opened in its name. This has led to substantial...
Kile kinachoendelea Mwanza si hitilafu ya kawaida, bali ni aibu ya wazi, uzembe wa makusudi na kutowajibika kwa kiwango cha juu kabisa kutoka MWAUWASA. Mwezi mzima uliopita Nyegezi haikuwa na tone...
Tanzania threatened to block Facebook, Instagram and WhatsApp in the whole country if Meta refused to block accounts of 3 activists.
Meta banned two of them and restricted the third
Wana JF,
Salamu. Kuna tetesi zinazosambaa sana hasa kwenye mitandao ya kijamii, zikidai kwamba kuanzia Tarehe 5 mwezi huu (Desemba), miamala yote ya kifedha (simu, benki, n.k.)...
Kama nchi tukiendelea nao hawa majangiri CCM msije shangaa shilole kuwa waziri wa kilimo.
Ina maana weledi wa waliosomea uwongozi kuwapa waweze kuongoza umekufa kabisa.
Sasa wasanii na chawa...
GreatThinkers
Zamani mvi ilkuwa ni uzee na alama ya kula chumvi nyingi. Laki kuna vizee vilikuwa vinapiga age bila mvi.
Hali ya sasa ianatisha vijana wadogo below 40 years mvi kila mahali shida...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua mashine mpya za kisasa katika mikoa ya kikodi ya Ilala na Temeke kwa ajili ya kukusanya maoni ya wateja. Kulingana na Meneja wa TRA Mkoa wa Ilala, Bi Eva...
Kipindi nasoma pale SAUT Mwanza 2012-2015, Padre Kitima ndo alikuwa mkuu wa chuo chetu pale.
Namfahamu binafsi na nilikuwa nikiongea nae na kushirikishana mambo kadha wa kadha
Fr Kitima naona...
Kuna mada hapa niliweka Moderator unaweza kurudisha kichwa cha habari kina sema inawezekana ni kulipa kisasi.
Kuna media hipo Facebook inakazania matukio yaliyotokea Zanzibar mfano la kupinduliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.