I salute you kinsmen
Wakuu
Kuna jambo huwa linanishangaza sana
Ninapoishi kuna ukaribu kidogo na day care moja hivi.
Sasa jioni nimerudi nikawa naskia muziki mule
Kumbe wameweka graduation...
Leo sehemu nyingi vitu vimepanda bei balaa.
Kilo moja ya nyama elfu 17
Nyanya moja 500
Chips yai elfu 5
Soda elfu 1
Nk nk
Kwa mwendo huu ni ngumu watu kufikia lengo
Hapo hakukuwa na...
watu wananunua mahitaji in bulk kana kwamba kuna kitu kinakuja.
Hadi sasa, masoko ambayo kawaida hufungwa mapema bado yako wazi kwa sababu uhitaji ni mkubwa kupita kawaida.
Maduka ya dawa yako...
Unapozungumzia sijui angalieni sudan nacho mwambia na yeye akaangalie Wasafi ze story book kwa nini sudani ilifikia pale.
Mlipofikisha hapa mbona unaruka kama CD imechubuka.
ujataja haya mambo...
Kama mtaala wa shule anayo soma mwanao upo chini ya Necta basi lazima utakuwa silent kuhusu jinsi ya kusurvive na kuthrive kwenye situation ya taharuki kama vuguvugu la D9 au kama hali iliyo tokea...
Orodha kamili ya taaluma za afya na aina ya biashara mtu anazoweza kumiliki/kujiajiri bila mtaji mkubwa—mfumo wa “Skill → Business” (Taaluma - Biashara).
📌 ORODHA YA TAALUMA ZA AFYA NA BIASHARA...
Hongera Jamiiforums Kurudi Hewani Ushindi wa Uhuru wa Kujieleza 👏👏👏
Nawapongeza kwa dhati uongozi wa Jamiiforums kwa ujasiri, uvumilivu na ukomavu mkubwa mliouonesha katika kipindi chote ambacho...
Kwa historia ya CHADEMA tangu inaanza haijawahi kuyumba kwa kiwango hiki cha sasa ni kama inataka kusambaratika
Hii ni mara ya kwanza kwa CHADEMA kususia uchaguzi tangu isajili Chama chake
Ni...
Siasa ndo ina-control kila kitu wakuu, Tazama sasa siasa ya Tanzania ilivyo inatuchezea akili huku ikituacha na mateso yaleyale kila kila wakati.
Mwananchi unateswa miaka minne alafu ule mwaka wa...
Sababu ya kiburi chako kuona unaweza.
Sasa uliposikia USA wamekunyima vijiela ulivyosema uvitaki wakapewa wengine juzi.
Wamekuita kukusalimia ikulu ukapigwa za uso maana unatakiwa ukubali...
Nimepata taarifa ya kutokea kwa vurugu na rabsha za hapa na pale huko ukweni, ningependa kupata abc hapa JF maana nimejaribu kuperuzi huku na kule sijapata dondoo zozote kuhusu hili wakuu...
Masheikh kiukweli mnaona mnaitetea Serikali na mnaamini hili likipita serikali itawalipa shukrani. Ukweli ni kwamba mmewaweka waislam mahali pagumu sana.
Imani yetu kwenu inapotea kila kukicha...
Mimi nilichokiona kusema mtu ni mraibu wa simu kuna vitu vimemiss
kwa kiasi kikubwa huwa naona waraibu wa simu huzitumia sana kwenye internet mfano kuperuzi google, mitandao ya kijamii, youtube...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.