Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naona leo wasanii na baadhi ya watu maarufu imekuwa shangwe kubwa sana kwao na kuwananga raia waziwazi. Sasa watu kama hao kimsingi sio wa kujibizana nao, suluhisho ni kuwalia buyu mwanzo mwisho...
10 Reactions
12 Replies
466 Views
Nyuzi zimekua nyingi kuelekea D9, huku sisi wazalendo wa Tanganyika tukiwa tumetimiza wajibu wetu kikamilifu kwa kuzima ajenda za machawa kina Lucas Mwashambwa na Genge lao. Sasa Siku yenyewe ni...
11 Reactions
94 Replies
3K Views
Hakuna watu nawachukia kama hawa viumbe wanaoitwa Polisi Ndo maana mkiingia kwenye anga za wajeshi huwa wanawashughulikia Wengi ni form four leavers ambao walifeli hawana elimu yoyote kichwan...
18 Reactions
38 Replies
778 Views
Note: Hakuna kifo cha ghafla kwa mtu aliyekufa. Mungu lazima amjulishe mtu kuwa safari yake ya duniani imetamatika. Au lazima amjulishe mtu kuwa kuna watu wanataka kutamatisha safari yake ya...
17 Reactions
78 Replies
4K Views
Maandalizi muhimu yote yameshakamilika.. Na muda huu ninapoandika huu uzi watu wanaendelea kujongea maeneo ya makutanio Zimetumika kila aina ya mbinu, elimu, maarifa na kuhamasishana ili...
9 Reactions
31 Replies
1K Views
Kuna watu wengi wanaona sifa kubeza na kutoa dhihaka kwa kuwa kilichotakiwa kutokea 9 Dec haikuwa kama ilivyotarajiwa lakini hawajui kuwa wanachofanya ni kurusha cheche kwenye ghala la petroli na...
4 Reactions
8 Replies
389 Views
Baada ya siku ya leo, nadhani kesho shuhuli zitaendelea kama kawaida, Sasa najiuliza Kwa wale walio nunua vyakula vingi na kuweka ndani, vinywaji na huduma nyinginezo je watajutia maamuzi yao au...
5 Reactions
32 Replies
625 Views
Na mkiweza pia naomba kujua Maandamano huku Watu wanachoma Moto Mali, Wanaiba na kufanya Fujo yanaitwaje kati ya Maandanano ya Amani na Maandamano ya Kimapinduzi? Nitashukuru sana nikielimishwa...
3 Reactions
14 Replies
275 Views
Moderator naomba uache Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia Sabato njema Naye akiisha kusema hayo, akawavuvia...
1 Reactions
2 Replies
317 Views
Jitu limeua watu kibao, leo eti kifungo miaka 20. Huu ni utani! Ilibidi anyongwe maana ameua wanadamu wengi Darfur! Kwahiyo na huyu wa kule Visiwa vya Indonesia atahukumiwa miaka 20 na mauaji ya...
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Kwa mujibu wa juzuu ya Royal blue heating kama alivyoandika Mwandishi Hazel Montgomery inaonekana siyo katika filamu za kisayansi ila ni katika anga letu la kila siku kuwa juwa litaghubikwa na...
1 Reactions
8 Replies
438 Views
Kwanini polisi wengi ni masikini?Na wakifa huzikwa vijijini? Kwanini polisi wengi ni masikini kupindukia? Yaani ni masikini sana na pia wengi wao wana maisha magumu pamoja na posho wanazopewa...
21 Reactions
166 Replies
13K Views
Jamii zetu za kiafrika zimeweka mzigo mkubwa sana kwa mwanaume. Naomba kutambua mchango wenu na kuwapa maua yenu kama ishara ya shukrani. Shukrani za dhati ziwaendee; 🌹 Wanaume wanaoweka...
29 Reactions
96 Replies
3K Views
TANESCO NA DAWASCO SIJUI DAWASA MTAUA WATU. Kama bi shosti kaamua kutesa watanganyika basi hii yenyewe.
6 Reactions
25 Replies
714 Views
Mnaotumia true call mnaweza kujiuliza leo tarehee 9 .App ya true call inaweza kukuonesha wanaokutafuta kama wataweka namba yako. Na kwa nini ili jambo limeanza leo
0 Reactions
2 Replies
359 Views
Code imeeleweka Sogeeni kanisani kwa Gwajima muda huu hapa neno linatupita Kama upo Dsm fanya kusogea kanisani kwa Gwajiboy Chaaap Soon tunaanza ibada tupo wengi
14 Reactions
27 Replies
1K Views
Na kama huwa mnapigiwa nao Simu hizo sasa kwanini huwa hamuwaripoti kunakohusika na badala yake mnakimbilia Mitandaoni kuripoti na kutafuta Huruma na Umaarufu wa Kitoto na Kipuuzi? au huwa...
5 Reactions
24 Replies
520 Views
Habarini za usiku ndugu zangu, Nimejaribu kupekua ktk mitandao mbalimbali nimeona watu wengi Sana wakishiriki kwa kuchangia hoja na wengi wao nimeona wakikubaliana na haya maandamano, Sasa kwa...
22 Reactions
252 Replies
30K Views
Katika kuadhimisha Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Desemba 9, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa elfu moja na thelathini...
0 Reactions
11 Replies
539 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…