Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Magari ya polisi yakiwa mengi na maafisa wa polisi wakiwa na silaha za moto na helkopter wamekizingira chuo cha UDOM usiku huu Haya yanajiri huku chuoni hapo kukiwa na vuguvugu la Maandamano ya...
8 Reactions
55 Replies
2K Views
Eze 16:15 SUV [15] Lakini uliutumainia uzuri wako, ukafanya mambo ya kikahaba kwa sababu ya sifa zako, ukamwaga mambo yako ya kikahaba juu ya kila mtu aliyepita; ulikuwa wake. Usaliti wa kiroho...
1 Reactions
0 Replies
163 Views
Nimepita sehemu fulani ofisi za serikali nikajua labda muda wao walimaliza tarehe 9. Nikiangalia naona kinyume chake yaani polisi ndio wamekuwa wanavyeo kuwazidi wao. Ilitakiwa polisi ndio...
13 Reactions
31 Replies
881 Views
Mwananchi huyu akionesha kukerwa na hali ya umaskini katika taifa licha ya uwepo wa rasilimali za kutosha. Nini Maoni yako.
2 Reactions
20 Replies
291 Views
Katikati ya mambo magumu hivi Kuna mtu anafanya muamala na kuweka namba yangu. Hili limeniuma mno 💔 41092 kama upo humu njoo PM nikuelekeze jambo Anyway D9 mstari wa mbele kabisa
4 Reactions
15 Replies
436 Views
Wapinzani na Gen Z wa Tanzania wanataka wasiadhibiwe wanapodhalilisha Chama Cha Mapinduzi CCM, jambo ambalo CCM wamelikataa na kupelekea Wapinzani kulalamika kila wanapoadhibiwa Nimefuatilia...
1 Reactions
8 Replies
221 Views
Dah ishakuwa mtihani kwakweli, maji ya chumvi yanatupausha, hakuna namna Week ya pili sasa tuna taabika, Kukosa hivi visima kwenye misikiti sijui ingekuwaje walah
0 Reactions
3 Replies
178 Views
Ni mzee mmoja akisimulia kwenye dala dala kisa cha kusikia kwa abiria wakisafiri wote namna baba na bintiye waliokuwa karibu mno kuishia kukosana. Haijulikani sababu hasa ni nini ila ndiyo...
0 Reactions
1 Replies
156 Views
Duru zinasema Kuna mpasuko ndani ya chama cha maamuma, bakwata na maaskofu njaa. Mmoja wao katangazwa kutema bungo Leo na bado Kuna wengine wa ngazi za juu wako vizuizini. Raha ilioje jamani...
3 Reactions
4 Replies
256 Views
Tarehe 29/10/2025 ilikuwa kama vile hakuna vyombo vya habari Tanzania. Matukio yote yaliyotokea na siku zilizofuata hayakuonekana kwenye vyombo vyetu vya habari na wala mjadala haukufanyika...
10 Reactions
33 Replies
828 Views
Watalii kutoka nchi kadhaa huenda wakalazimika kutoa historia ya matumizi ya mitandao ya kijamii ya miaka mitano ili kuingia Marekani, kulingana na pendekezo jipya. Sheria hiyo ingewahusu wasafiri...
0 Reactions
3 Replies
228 Views
Wenye Akili tuliposema kuwa hakuna Mtu hapo na huyo ni Tapeli tu na Mtafuta Kiki za Kitoto Mitandaoni mkatupuuza.
6 Reactions
25 Replies
631 Views
Wasanii jambo lao limefanikiwa kwa kiasi kikubwa, na yule mtu wao ameingia madarakani na tarehe 9 dec wameona wamepata ushindi mwingine. Hivyo kwa sasa watakuja na kila aina ya gia kuwalaghai...
1 Reactions
3 Replies
188 Views
Wasanii walishiriki kampeni upande ambao ulipata kura mil. 31, ushindi mkubwa kabisa huu!. Sasa hawa watu ambao ni nusu ya watanzania kwanini wasiwasapoti? Kama waliweza kwenda kupiga kura...
2 Reactions
9 Replies
251 Views
Imagine hii ndo barua iliyotolewa na polisi makao makuu kuhusu hali ya ndani ya nchi. Ndo maana tunasema tusomeshe watoto wetu shule nzuri na wasome elimu kuliko hizo aibu za kutojua lugha za...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Wakazi wa Dar es Salaam wametoa wito wa kuzingatiwa na kudumishwa kwa amani nchini, wakisema ndio msingi wa ustawi wa maisha ya watu. Wamesisitiza matishio ya vurugu yanavyoathiri shughuli za...
0 Reactions
2 Replies
152 Views
Muziki wa Kenya ndiyo upo kwenye peak kwa sasa hata kabla ya MO29. Wakenya wako serious sana na kazi zao kuliko wasanii wa Tanzania. Mimi nasikiliza sana mixing za DJs huko youtube, na nimelipia...
0 Reactions
1 Replies
170 Views
Kila tarehe zinazopangwa kumbukeni mnatumia pesa za kujilinda ili msitoke madarakani. Hapo hapo uchumi unasimama kwa muda kuogopa maandamano. Hakuna balozi, kampuni wala serikali ambazo zitaweza...
5 Reactions
21 Replies
417 Views
Aliyekwamisha Reforms na Katiba mpya ni Tundu Lissu Mara kadhaa nimekuwa nikishambuliwa pale ninapomkosoa Tundu Lissu kuhusiana na aina ya uongozi wake uliojawa na dharau pamoja na Kiburi Dharau...
0 Reactions
69 Replies
898 Views
Ulipata bahati ya kila aina japo ule msemo bahati huja mara moja ila wewe ulipata bahati sana. Ulipata kila aina kitu na mpaka wanaume ambao walitaka uwe sehemu yao na kukupa kila ukitakacho...
9 Reactions
24 Replies
845 Views
Back
Top Bottom