Na huku Kuzusha kwenu ili kuzua Taharuki na kuonyesha kuwa hali si Shwari baina ya Wakristo na Waislamu ndiyo Kazi pekee muiwezayo kwa sasa hasa baada ya Juzi wenyewe Kunywea na Kuogopa za...
Duniani kila miaka inavyokwenda fursa zinapotea zaidi kwasababu ya kukua kwa teknolojia na ongezeko la watu. miaka ya 70-80 fresh form 4 leaver alikuwa anaajiriwa kama muhasibu. Vipi sasa hivi...
Nawaza tu hapa.
Kama Rais Samia angesema hataki kashikashi tarehe 29 angekaa pembeni na kusema nawaachia hicho kiti aiseee ngumi zingepigwa sana miongoni mwa wapinzani.
Yaani mpaka Mange Kimambi...
Ni kama wamekata maji makusudi ili hii habari itrend zaidi watu wasahahu yaliotokea Oktoba 29, mimi nikishaona habari mbaya mbaya zinapostiwa hadi na TBC kila saa na vyombo vingine machawa vya...
Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Mindu katika Manispaa ya Morogoro wamelazimika kuchimba mashimo kwenye mabonde yaliyopo ndani ya mtaa huo ili kusaka huduma ya maji baada ya vyanzo vingi vya maji...
Ruangwa tuna shida kubwa ya maji. Mimi nimezaliwa hapa nimekulia hapa hadi leo hii nakaribia umri wa miaka 20 miaka yote hapa tuna shida ya maji tu, tangu niko mdogo tunateseka na shida ya maji...
Je wajua? Ulaaji usiofaa unaweza kuongeza hatari ya matatizo ya moyo 😟
“Chips yai na soda baridi sana” 🔥
Hivi vitu vinaongeza mafuta mabaya (kolesteroli) mwilini na vinaweza kuziba mishipa ya...
Zijue athari za uchawi wa ghaskhini katika kazi zetu za kujipatia kipato
Habari ya mchana ndugu mpendwa mfuatiliaji wa makala zetu mbalimbali zenye kukupa ufahamu juu ya maradhi mbalimbali...
Kwanza kabisa nianze na maana ya Roaming
Roaming ni huduma inayoruhusu mteja wa kampuni moja ya mawasiliano kutumia mtandao wa kampuni nyingine, pale ambapo
Mtandao wa kampuni yake haupatikani...
We have being a lot in our lives, any of us can tell a very interesting story but May's it's crazy, just hold on what you think of having people who helped you a lot and suddenly they wish you to...
Habarini waungwana
Naomba rejea kwenye kichwa cha habari hapo juu
Nahitaji flash ila naomba kujua ni kampuni gani nzuri maana kila siku naishia kuuziwa fake _
flash hata mwezi haifiki tayari...
Kiliba: Tumtii na kumuombea Rais Samia
Akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 14, 2025, Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba...
Tabia hii imekithiri na mamlaka hazikemei.
Wanaoongoza kwa plate namba za kugushi ni Polisi tena kwenye gari zao binafsi sio za ofisi.
Leo unaikuta na namba ya kenya, wiki ijayo chassis number...
Iyo ndo kauli mbiu ya chama la mafia,
Watu wa ccem itakuwa ndo kauli mbiu yao hiyo. .
Tutarajie kuzika viongozi wengi jamani tusichoke ,wasanii tungeni kabisa nyimbo za watu waziti alafu sihifadhi
Clemence Mwandambo: Tanzania imekuwa nchi ya ajabu sana, watu waoishi kwa kodi zetu kwa ndio wamekuwa wanatunyanyasa, wewe fikiria afisa mtendaji tu anajisikia boss lakini anaishi kwa kodi zetu...
Chief Hangaya ameidhirishua Dunia kuwa chief hodari mwanamke wa Karne hii ya 21, ameionyesha Dunia kuwa ni chief mwanamke mwenye uwezo mkubwa wa kuilinda himaya yake na watu wake.
Huu uhodari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.