Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wa juu Nimekuja hapa kwa lengo moja tu natafuta mtu wa kunishika mkono anayejihusisha na mambo ya madini Mimi ni kijana wa miaka 26 nipo Dar es Salaam Lengo la kuja hapa ni kuomba kama...
0 Reactions
7 Replies
428 Views
Muda mfupi sana CCM walivyokutumia kama wamekuweka kabitini kabisa. Yani ulivyoingia ulikuwa unaisema CHADEMA mpaka ukakosa cha kuongea. Shukuru jina lako la mwisho kidogo anatembea msemaji wa...
2 Reactions
5 Replies
203 Views
Ndugu wateja mnaohudumiwa kupitia TANKI LA KIMARA tunapenda kuwajulisha kuwa tumefungulia huduma ya maji, maeneo yafuatayo yatapata huduma;- Sinza A, Sinza C, Mabibo, Kigogo, Mburahati, Kwa...
0 Reactions
3 Replies
166 Views
Utaona hilo kwenye comments walizotoa kwenye picha zilizopostiwa jana wakati rais Samia anazungumza na wakuu wa Kamandi na viongozi wengine wa jeshi. Why? Je, wananchi wamepoteza imani na jeshi...
0 Reactions
3 Replies
188 Views
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam. Maboresho makubwa na uwekezaji unaoendelea kufanywa katika Bandari ya Dar es Salaam yamekuwa kivutio kwa mataifa mbalimbali ya Afrika na Ulaya kuja kuangalia na...
0 Reactions
1 Replies
704 Views
Zile pesa zilizochangwa za CCM na list kubwa ya matajiri mpaka timu ya mpira ilikuwa kwa ajili ya uchafuzi wa uchaguzi. Pesa ile ilitumika kuonga idara za ulinzi na tume ya uchaguzi ndio maana...
0 Reactions
1 Replies
139 Views
Ni masaa machache sasa kumekuwa na mjadala mkali uliosambaa kama moto porini kuhusu ununuzi wa mipira 193 kwa Sh. 13,510,000 na Mbunge wa Ludewa, Mheshimiwa Joseph Kamonga, akikumbwa na lawama...
0 Reactions
12 Replies
293 Views
Wenye Dunia na wamiliki wa ICC jana wameisifu Tanzania. Watu wakikosa strategic planning ya siasa kazi yao kubwa itakuwa kudandia dandia mada . Suala la umeme limetatuliwa sasa wamehamia kwenye...
5 Reactions
59 Replies
1K Views
Kuna ajira zimetangazwa na Public Service Recruitment Secretariat juzi ambazo zinaendelea kufanyika?????. My worries, isije kuwa mbinu ya kuwapoza GenZ kuwapotezea watu muda na fedha...maana hawa...
0 Reactions
0 Replies
109 Views
Sihangaikii chochote naacha nature iamue! Sihofii chochote Sipambani kutafuta furaha maana najua sitakuja kuipata Mimi ni kakitu kadogo sana na Sina maana yoyote hapa duniani
33 Reactions
100 Replies
2K Views
Habari za Uzima WanaJamiiForums. Kuna kitabu Nimekipoteza ktk mazingira Nisiyoelewa, kinaitwa UCHAWI UNAVYOKUPATA NA KUJIKINGA Cha mwandishi MUNGA TEHENANI wa FAMILIA YA JITAMBUE. Huyu Bw...
12 Reactions
135 Replies
7K Views
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imeendelea kuwajengea uwezo Watumishi wake kwa kuwapa mafunzo ya namna bora ya kusimamia masuala ya Itifaki na kuhudumia wageni mbalimbali wanaotembelea hifadhi...
0 Reactions
0 Replies
156 Views
Unatoka nyumbani saa 12 kwenda ofisini, unarudi nyumbani saa 2 usiku Kimsingi ni kwamba unaishi kazini ila nyumbani unarudi tu kupatembelea Na huu mzunguko ukiufanya hadi miaka 55-60 Kimsingi...
24 Reactions
39 Replies
835 Views
Hawa Wayahudi aka Jews waliuawa sana na Hitler. Mamia elfuu.... Wapalestina wanaua Wayahudi mpaka Leo. Jana wameuawa huko Australia, Yani Baba na Mtoto wake wamevamia sherehe zao na kuuwa 15...
1 Reactions
19 Replies
519 Views
Kwa salute ya uhakika na ya Kibabe kama hii ambayo GENTAMYCINE nimeipenda hakika walioogopa na kuufyata Kuandamana Kindezi (kwa Kudanganywa) na Wapuuzi waliopo Marekani na Kenya waliona mbali sana...
3 Reactions
42 Replies
1K Views
Tanzania imepiga hatua kubwa katika miundombinu, utawala na huduma za kijamii. Hata hivyo, changamoto ya makazi mijini bado inaonekana wazi kupitia wingi wa vijumba vidogo visivyo rasmi, ambavyo...
0 Reactions
2 Replies
178 Views
Huyu msanii domo kaya aka mond.Unatamka kuwa una mchukia baba yako alafu na yeye hapo hapo ni bingwa wa kuzalisha na kuacha. Ni kweli ni amini mtoto akilelewa kwa mama anaweza kuwa na tabia ya mama.
5 Reactions
7 Replies
178 Views
Kauli ya Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, kuhusu kumuaga rasmi Bw. Mfaume Ramadhan baada ya miaka 39 ya utumishi wa umma imeibua mjadala mpana wenye maswali mazito kuliko majibu. Miaka...
8 Reactions
33 Replies
969 Views
Mbona raia hawanunui kabisa?
1 Reactions
5 Replies
175 Views
Google inapofikia tarehee moja ukusanya matukio na kutengenezwa sehemu ya video fupi kama yaliyopita. Kwa revolution zilizotokea 2025 pamoja tanzania mauwaji inawekwa ila sijajua wataweka kwa...
1 Reactions
2 Replies
175 Views
Back
Top Bottom