Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna rafiki yangu ni taifa ambao wamenyooka sana kwenye elimu sana na matendo yao. Wanacho kwambia kama umetaka kufanya usilete kuchanganya pande mbili kuonesha kama sio wewe. Leo hii kwa kiduku...
1 Reactions
5 Replies
176 Views
Ubabe na ujeuri wa rais wao ndio umefikisha taifa hapo. Yani imefikia pesa imekosa thamani kiwango cha hata ukidondosha hakuna anayesumbuka kuokota. Wengine wamefikia kutengeneza mapambo kwa...
4 Reactions
23 Replies
535 Views
Godfrey Mwambe aachiwa kwa dhamana. Anatuhumiwa kupanga njama za kutaka kumuua ‘Mkuu wa Polisi’ Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo Jumatatu Desemba 15, 2025 imeyaondoa rasmi...
0 Reactions
0 Replies
107 Views
Nmejiuliza sana hili swali muda huu nikiwa napata chai na vitumbua +maharage mahali Eti mtu anawekeza mahali bilioni 600, mtu anajenga jumba la bilioni 10, mtu ana drive gari la bilioni...
14 Reactions
55 Replies
2K Views
Tanzania, nchi yenye mandhari nzuri na urithi wa kitamaduni mbalimbali, inajivunia historia ya maelfu ya miaka. Tangu enzi za wawindaji wa mapema hadi utawala wa kikoloni na kupigania uhuru...
2 Reactions
4 Replies
250 Views
Umewahi kujiuliza kwa nini Waafrika hususani sisi weusi tunadharauliwa sana? Actually sababu sio rangi yetu ya ngozi pekee, bali kuna sababu nyingi mno kwa nini Waafrika wanadharauliwa sehemu...
3 Reactions
9 Replies
231 Views
Baada ya serekali kuwaokoa wasiendelee na vipigo vikali kwa kufungia hizo kampuni za LLB na FIC kisha kuwakamata waliokuwa wakiendesha hizi kampuni za kitapeli ndio basi tena? Ukimya ni mwingi...
1 Reactions
5 Replies
199 Views
Mambo vipi wana JF.,. Nimeona hii taarifa rasmi ya Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Oktoba 2025 – wanaomba wananchi wapeleke maoni, ushahidi, picha, video, maandishi na...
2 Reactions
22 Replies
640 Views
Msimu wa sikukuu ndio kipindi cha watu kupata mapato mengi ukilinganisha na miezi mingine. 1 Huduma za Usafiri na sheli. 2. Masokoni, minadani, maduka makubwa na wauza nguo. 3. Wauza vileo...
0 Reactions
1 Replies
214 Views
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua Kampeni Kabambe ya Msimu wa Sikukuu kwa ajili ya kuwazawadia wateja wake wanaofanya malipo kwa kutumia kadi ya Popote Visa, ambapo watapata rejesho la...
1 Reactions
2 Replies
180 Views
Achana na lile vibe la msiba la waombolezaji, kwikwi na vilio vya chinichini, simanzi na majonzi wakati wa ibada.. Hayo mambo jana hayakuonekana kabisa Kilichoonekana jana ni mambo ya kutisha...
30 Reactions
59 Replies
2K Views
Nimeona post inayoonesha tangazo la TCRA linalohamasisha kuwa na nyumba zenye namba kwani ni msingi wa mpangilio wa taifa Lakini picha za nyumba walizotumia mbona kama ni nyumba za mambele wakuu...
4 Reactions
16 Replies
553 Views
Wahenga walisema, vita vya panzi, ni furaha kwa kunguru, ama vita vya kuku ni furaha kwa mwewe alie karibu! Hii ni misemo ya wahenga, Sote tunakumbuka yaliyotokea October 29 hadi dec 2...ile...
2 Reactions
5 Replies
368 Views
Damas Ndumbaro: Kazi ya Sanaa ni haki ya msingi ya binadamu, kama inavyotambuliwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 18 (a). Vilevile, sanaa ni ajira na biashara halali...
1 Reactions
19 Replies
496 Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Leo kanisani parokia ya mama bikira maria kiwanja cha ndege dodoma kulikuwa na msiba ya mtumish wa MUNGU jenista mhagama mwana jumuiya au kwa...
7 Reactions
32 Replies
913 Views
Inakuwaje mtu ambae sio medical professional kupewa majukumu ya kuongoza wizara nyeti ya afya? Na hii inatokea kwenye wizara nyingi tuu na matokeo yake ndio kama haya... Mnakera na kutia aibu asee
5 Reactions
41 Replies
708 Views
Inasemekana UTT AMIS majangani. Wanahisa hawalipwi kwa wakati wengine hawalipwi kabisa. Kazi kwenu wawekezaji, bongo nyoso.
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Waislamu ni wagumu sana kutengeneza kitu cha kunufaisha jamii nzima, licha ya wao kuwa na matajiri wengi kama kina Bakresa na wengineo hapa Tanzania lakini linapokuja suala la kurudisha kwa jamii...
2 Reactions
77 Replies
2K Views
Ama kweli tembea uone! Congo DR, ni sehemu ambayo maeneo mengi ili ufanikiwe kutoboa, ni lazima uwe umehitimu ubabe kwa zaidi ya alama 1000%. DR, ndilo eneo ambalo maovu, umafia na hata unyama...
48 Reactions
138 Replies
21K Views
Huyu mwenzenu says it all. Wanawake na mihemko ni damu damu. We are doomed as a nation!.
9 Reactions
70 Replies
1K Views
Back
Top Bottom