Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii nchi tutakufa kwa kushangaa. Geita Gold Mine ni kampuni ya mama ya mgodi, ambayo ni AngloGold Ashanti. Kampuni hii hutoa ripoti za kifedha za jumla, lakini faida ya mgodi wa Geita pekee...
3 Reactions
17 Replies
718 Views
Manaolia vitu kupanda bei mtulie mlinde amani msizue taharuki ndio kwanza serikali sikivu imeanza kazi amani ni bora kuliko kupanda kwa maisha. Sasa hapo tushushe gharama za maisha alafu amani...
2 Reactions
5 Replies
158 Views
Kupiga chafyana kukohoa inazuilika tu. Unakuta wanaume wazima mnashindwa kujizuia kikohozi na chafya kikikujia. Mwanamme vitu vidogo kama hivi vinazuilika tu. Kweli wanaume tumebaki wa chache.
2 Reactions
23 Replies
612 Views
Ziliharibiwa Mali za mafisadi tu, Mali za kampuni za watu waadilifunhazikuguswa kabisa. Bakhresa, tajiri namba 1 ana viwanda, magari, majumba na maduka mengi. Lakini utajiri wake haina makando...
1 Reactions
8 Replies
398 Views
Hii kasumba ipo sana miongoni mwa Watanzania, zamani ilikua ni kwenye vijiwe vya kahawa. Hatimaye imekua Kansa sugu, taasisi za kidini, vyama vya siasa, vyombo vya ulinzi, viongozi wakubwa wa...
2 Reactions
5 Replies
197 Views
Wamelaaniwa na shetani, waongo, wabinafsi, wezi, wazinzi and all filth you can think of!
2 Reactions
1 Replies
103 Views
Mwingine Huyu HAPA Anaitwa TenkSon Scratch Nakuletea Mambo 10 Kuhusu Nyoka Huyu Anayeelekea Kupotea Duniani πŸ‘‡ πŸ‘‡ (1) Nyoka Huyu Aligundulika Duniani Mnamo Mwaka 1624 Huko Nchini Congo...
23 Reactions
243 Replies
15K Views
Anonymous
Barabara za Kigamboni hazina usimamizi wakati wa kufanya marekebisho. Ni kama vile hakuna usimamizi au mamlaka za TANROAD hazipo Kabisa Kigamboni. Kipande cha kurekebisha wiki moja kinachukua...
0 Reactions
1 Replies
170 Views
Vidakuzi "Cookies" hufanya kazi ya kukusanya na kufuatilia taarifa zako mtandaoni, mara nyingi bila ya wewe kuona ni data gani zimekusanywa. Lengo lao kuu ni kuboresha na kulenga matangazo...
4 Reactions
9 Replies
362 Views
Vidakuzi ni data zinazokusanywa na tovuti unazotembelea na kuhifadhiwa kwenye kivinjari chako, zikijumuisha taarifa kuhusu shughuli zako kama kurasa ulizotembelea na muda uliokaa kwenye tovuti...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Sio utani wala kupindisha Moderator kuna mda unataka kupindisha ila mtakumbuka haya maneno. Mtawala ndio analeta chuki ambayo sasa kaingiza kwenye udini kabisa akijua kitamuokoa. Mimi sipendi...
1 Reactions
5 Replies
233 Views
Kwanza kabisa napenda kuwapongeza TRC kwa kuendesha SGR mwaka mzima kwa ufanisi na kiwango kile kile mlichoanza nacho. Kwa hili mnastahili pongezi. Pamoja na huduma zenu nzuri kuna kitu...
26 Reactions
58 Replies
2K Views
Huduma za SGR za daraja la Biashara, haziendani kabisa. Kuanzia makazi yao pale Dar es salaam na Morogoro sehemu ya kusubiri abiria wa daraja la Biashara haiendani kabisa. Kuna muda abiria...
1 Reactions
3 Replies
406 Views
1. Menachem Begin Waziri Mkuu wa Israeli aliwaagiza Mossad wawatoroshe Wayahudi weusi nchini Ethiopia waliokuwa wakiteswa. Wakati huo Israeli na Ethiopia hawakuwa na uhusiano wa kidiplomasia na...
2 Reactions
19 Replies
647 Views
Kama inavyosomeka hapo juu, jana na_scan kadi yangu pale Ubungo Maji naona 1000 imekatwa. Nauliza mhudumu inakuaje ananiambia nauli 1000. Abiria mwingine naye ananiambia tangu usafiri umerudi...
8 Reactions
107 Replies
2K Views
Mbeya licha ya kuwa na mitaa mingi iliyojengwa hovyo bila mpangilio, lakini mtaa wa Uzunguni ni mzuri sana Uzunguni kumepangiliwa vizuri, kuna miti mingi, hata hali ya hewa ya utofauti, na majengo...
9 Reactions
28 Replies
912 Views
2010 kurudi nyuma tarime ilikuwa uwanja wa vita. Sio majambazi, Sio vita vya koo, Sio vikundi vya magenge, Sio vikundi vya wizi wa ng'ombe, Sio matukio ya kuachiana hospitali au mochwari. Kuna...
4 Reactions
60 Replies
2K Views
Trump Kufikiria Kuongeza Nchi 36 Katika Orodha ya Marufuku ya Kusafiri, Ikiwemo Nchi za Afrika na Karibiani – Ripoti Utawala wa Donald Trump unafikiria kuweka vikwazo vya usafiri kwa nchi...
1 Reactions
8 Replies
867 Views
Wanasema ndugu zangu waislamu kutembea ni elimu ni kweli kabisa ila tuliopo nao hawa watawala wamekwenda kupiga picha. Kuna nchi ukienda unaweza kujiuliza wanaishi vipi wakati mimi nilipotoka...
0 Reactions
5 Replies
183 Views
Tunajua vile ilivyo kazi kumwambia Panya Road aache Upanya Road wake kwa sababu hawa watu huwa hawana ego kabisa. Niwaase wazazi au walezi mpeni neno moja tu ili yakimpata yakumpata awe...
1 Reactions
6 Replies
210 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…