Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,416 Dec 19, 2025 #1 Wazee wa CCM wanaona kama kifo sio sehemu yao kwa nchi hii. Wazee ni wengi wengine wanaweza kuona sio mda wao ila watafika ili tu kuona maisha ni ya kwao. Kuna watu tupo nao mashambani wamekuwa kichekesho zaidi walivyo na madaraka.
Wazee wa CCM wanaona kama kifo sio sehemu yao kwa nchi hii. Wazee ni wengi wengine wanaweza kuona sio mda wao ila watafika ili tu kuona maisha ni ya kwao. Kuna watu tupo nao mashambani wamekuwa kichekesho zaidi walivyo na madaraka.
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,307 Reaction score 14,628 Dec 19, 2025 #2 Achana nao tu wajifie kwa amani tuwazike, tunajua hawaelewi chochote walilogwa na mbogamboga tangu zamani sana.
Achana nao tu wajifie kwa amani tuwazike, tunajua hawaelewi chochote walilogwa na mbogamboga tangu zamani sana.