Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Manchekesha sana mapot Mnadharaulikia. Mnalipwa ili mtupe watu mnalipwa ili muue watu ,muwabambikizie kesi n.k Adi sasa nafikiri posho zishaisha zile za oct 29 mmerudi apeche alolo mnakula dei...
4 Reactions
10 Replies
300 Views
Ktk vitu ambavyo vinafelisha watu wengi ni kuwa wazito ktk kufanya maamuzi pale wanapikuwa approched kwa malengo ya ki biashara, kazi au hata mahusiano Unaweza ukakuta mteja kawaka kweli kuna...
2 Reactions
14 Replies
352 Views
Mimi nimekuwa Mdau mkubwa wa kwenda kupoteza mawazo na kukimbia wanaonidai katika visiwa ivyo. Ila changamoto kubwa ya visiwa hivyo ni mbili 1/Sijawahi kuona boti ya emergency (speed boti)...
6 Reactions
36 Replies
5K Views
Miondoko yote. Afrobeats, Gospel mix, Gospel Catholic, amapiano, 3 Step's, R&B's, n.k.
0 Reactions
2 Replies
198 Views
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam(UDSM) ambaye ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amempongeza Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Mwigulu Lameck Nchemba kwa kazi anayofanya...
2 Reactions
5 Replies
331 Views
Picha Iko chini je hii Ina maana Gani kwa Tata ta Bagonza? Kwa KANISA je? Nashauri Tata ya Bagonza uandike juu ya Ili kumbatio lisiro kumbatioooo!
1 Reactions
0 Replies
132 Views
Nauliza ALIYE fanya vetting ya RAIS kuwa Rais ni nani? Je aliyefanya vetting aliona kabisa ana sifa za kuwa Rais? Je alimfanyia akiwa tayari u RAIS? Vetting ya mama wanu irudiwe Mimi naona kama...
1 Reactions
1 Replies
114 Views
Kinachoendelea Mashariki mwa Congo DRC si mgogoro wa mbali kama wengi tunavyodhani. Huu ni mgogoro ambao hakuna nchi ya Afrika Mashariki itakayobaki salama. Kuna chaguo mbili tu: ama uwe sehemu ya...
5 Reactions
33 Replies
811 Views
Habari za muda huu ndugu zangu, katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na mtoa elimu kuhusu mambo ya upatikanaji wa hati miliki za viwanja (aridhi), alienda mbele zaidi akaelezea...
3 Reactions
82 Replies
3K Views
Ni kosa kubwa mnooo, kwa mwanadamu KUKOSA hisia ni kosa kubwa mnooo! Natamani nimsadlidie RAIS wa Tanzania, maana wateule wake naona hawamsaidiii ipasavyooo. Siuoni msaada wa WAZIRI mkuu maana...
1 Reactions
5 Replies
134 Views
INAMAANISHA NINI KUSEMA MWANAFUNZI HAWI MKUU KULIKO MWALIMU WAKE? Kauli ya “mwanafunzi hawi mkuu kuliko mwalimu wake” ina asili ya Biblia (Mathayo 10:24; Luka 6:40) na ina maana pana katika...
1 Reactions
3 Replies
202 Views
Iko hivi: Jinsi unavyoishika simu yako, au kompyuta yako, unavyobonyeza, unavyoilaza au kuisimamisha, spidi yako ya kutype, unavyotazama maandishi kwenye screen, vyote hivi vinaunda tabia ya...
1 Reactions
7 Replies
359 Views
Ni Desemba 16, 2025, Kampuni ya Meta ilithibitisha rasmi kupokea ombi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) la kukata kodi ya asilimia 5 kwa kila malipo yanayolipwa kwa Watengeneza Maudhui...
8 Reactions
33 Replies
933 Views
Ninakereka sana na huu utamaduni wa nchi yetu kuandika historia huku taarifa nyingi sana zikifichwa. Kwa mfano historia ya muungano wetu huwa inaanza na kumaliza na majina mawili tu, Nyerere na...
0 Reactions
7 Replies
241 Views
GT Ukiangalia scenario za mzee warioba na Nay wa mtego utagundua kwamba msema ukweli mara zote anakuwa huru kuliko muongo. Hawa watu kwa sasa ni hero's na wanakubalika na kila raia tofauti na...
4 Reactions
10 Replies
200 Views
Waumini maelfu wakichota udongo uliokombolewa na Mtume Boniphace Mwamposa hapo jana Kawe kwenye Mkesha wa kumaliza mwaka.
6 Reactions
32 Replies
752 Views
Habari wakuu, Mwishoni mwa mwaka 1998 na mwanzoni mwa miaka 2000 kuna wanajeshi walienda nchini China kuchukua mafunzo ya ngazi Fulani. Baada ya muda Fulani walirejea nchini, walirudi na vitu...
41 Reactions
307 Replies
34K Views
  • Featured
Eti ndugu zangu ndio tumeshamsahau na kumbe ukitaka kukomboa taifa unasahaulika mapema hivi?
11 Reactions
64 Replies
3K Views
Wakuu, Mchana nilikuwa naingia bila kutumia VPN lakini muda huu nashindwa kuingia. Shetani gani tena huyu? Binti wa zamani
16 Reactions
85 Replies
3K Views
Padre Kitima amuaga Padre Chesco Msaga kwa Maneno mazito | "Natafutwa sana ili waniue, naomba uniombee Padre." Padre Chesco Msaga C.PP.S aliyechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Shirika la...
34 Reactions
93 Replies
2K Views
Back
Top Bottom