Yaani sijawahi ona hii tabia mbaya kabisa! mtu anafka kituoni kujaza gesi anabanwa na haja anakwenda kuomba msaada wa kujisaidia wanamwambia choo hakuna! Kweli jaman ndio tumefkia huku...
Nehemia 4:14
Nikatazama, nikaondoka, nikawaambia wakuu, na mashehe, na watu wengine waliobaki, Msiwaogope; mkumbukeni Bwana, aliye mkuu mwenye kuogofya, mkawapiganie ndugu zenu, na wana wenu, na...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe ameiwakilisha Tanzania katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda...
Sikuwahi kamwe kudhani kuwa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kingekubali Wanachuo wake waoneshe uma masihara makubwa ya kiasi hiki
Masihara haya yataeleza dunia kuwa ni kiasi gani Chuo hiki hakina...
Tukubaliane watanganyika, nasema watanganyika, maana zanzibari sijasikia wakitekwa au lolote BAYA lililotokea kwao,
Nasema tukubaliane Tanganyika RAIS wetu ameshindwa na tabaka la watekaji Sasa...
Kwa watu wengi, utajiri ni kufanya kazi kwa bidii, kutunza pesa na kuwekeza kila utakapoona kuna fursa! Bahati mbaya hapa ndo mwanzo wa tatizo, Ili kuelewa chanzo cha utajiri swali la msingi ni...
Kuna watu wanajiona wana umhimu sana hapa duniani lakini kumbe wao si lolote wala chochote.
Afadhali kidogo miaka ya kina nyerere historia inawakumbuka
Lakini ukweli ni kwamba wewe si kitu hapa...
Habari zenu ndugu zanguni, Sasa wakuu wale walio ishi Musoma mjini mkoa wa Mara, Kuna night club ILIKUA inaitwa metro, sa nimeingia na mwanangu, mmoja wakuitwa bivunguye, tukawa tumekaa mahala...
Wadau wa uchumi wa kati- nawasalimu.
Nianze kwa kutoa pongezi za dhati sana kwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kuanzisha mnada wa kuuza bidhaa mbalimbali mtandaoni ( Online Auction). Binafsi...
kumekuwa na baadhi ya machawa wanapita pm nakukuahidi posho ya 10k pamoja na unlimited bundle ili kuisifia serikali ya Samia, kuwatusi chadema na kuitetea serikali kwa kila hali.
Mbaya zaidi...
Walihakikisha nia zao ovu wazi connect na Mungu ili watu wazione ni za kitakatifu na pia iwe rahisi kuendeleza nia zao ovu vizazi na vizazi
Dini imeshinda utashi.
Itikadi imeshinda tafakuri...
Kodokushi — Kifo Hakuna Mtu Anakitambua 🇯🇵
Wanaiita Kodokushi - "kifo cha upweke."
Hali hii Inatokea wakati mtu anapokufa kimya kimya nyumbani kwake peke yake! ... na hakuna mtu anayekuja
Hakuna...
Huko Tanga siku chache zilizopita rais aliwaonya jeshi wasijihusishe na siasa na kibaki chombo huru katika kusimamia ulinzi na usalama.
Lakini kivipi jeshi lisijihusishe na siasa wakati baadhi ya...
Nipo Kanda ya ziwa, hakika Bado taifa letu halijatulia kamwe, Bado Hali HAIJAWAI sawa sawia kamwe, Bado watu wanachuki kubwa mnooo!
Niliyoyaona Kilimanjaro, sio ninayo yaona kwa mkoa wa geita na...
Moja ya kauli aliyowai kuitoa RAIS Samia, ni kuwa adui zake no wale wa kijani na sio vinginevyo hahahaha!
Je, ni kweli maandamano upande wa Mwanza yalianzia kisesa kwa Luhaga Mpina? Je, hao...
Wahenga siyo wajinga na makosa yao ni machache ukilinganisha na usahihi wao,,,,, Wahenga walisema "Hakuna jipya chini ya Jua" na hivyo ndiyo walivyo Watanzania na ndivyo itakavyokuwa siku zote...
“Uranium haiwezi kuwa na umuhimu kwa watu ambao hawajui afya zao zitarejeshwaje wakiugua. Watoto wao wanasoma mazingira ya duni.......”
Mfano hoja ya “wanaomezea mate madini ya uranium”. Kulikuwa...
Polisi fanyeni doria zenu za kawaida ila TAMBUENI Tanzania sio Gaza, Mwanza maeneo ya kisesa Bado kumejaa HARUFU mbaya mno, wasukuma hawaelewi kamwe.
Bado vijiwe vimejaa chuki dhidi ya utawala...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (Mb) amewasili Mkoani Ruvuma kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed leo tarehe 20...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.