Leo haikuwa siku njema sana kwa treni ya umeme ya SGR ilipopata ajali maeneo ya Ruvu ikielekea Dodoma.. Mungu ni mwema hakukuwa na vifo bali uharibifu mkubwa wa miundombinu
Kwa muonekano wa ajali...
Polisi wa kenya baada kurudi nyumbani kutoka haiti wanakwambia polisi walikosa uhaminifu ile nchi sababu ni wao.
sasa wamefikia hatua kuwaua mpaka na familia zao nili nukuu BBC makala hipo...
CCM kwa sasa kinachagua watu kulipa fadhila,kuendana muhusika,kukosa dira na n.k.
Kama muhusika siku hakitoka nahisi chama chenu ndio kitakuwa mwanzo na mwisho kurudia tabia hii.
Mnaona aibu...
Anaandika jonhson✍🏻✍🏻
Kwa jina naitwa jonhson ni mzaliwa wa mkoa wa mara ukuaji wangu umekuwa na mapito mengi ya kuumiza sana.
Nilizaliwa miaka 33 iliyopita nikiwa na afya nzuri ila baada ya...
Habarini wana JF
Naomba kujua safari ya kwenda Afrika Kusini kwa basi gharama zake kwa aliyesafiri hivi Karibuni pamoja na mabasi yanayokwenda huko.
Asanteni
Oy hope mko fiti.
Ebhana kuna vitu hua tunajua vipo namna fulani lakini sababu hasa hua hatujui, binafsi sijawahi kupata ufafanuzi kwanini askari wetu hawaruhusiwi kuwa na ndevu.
Hebu Leo tupate...
Posts ambazo zinalenga kuwa expose members wenye hulka za kitapeli/kisanii zisifutwe na mods. Hii inasaidia usalama kwa members wengine
Wanangu,
Vincenzo Jr
secretarybird
ngara23
Mjusi Sharobalo...
Hata vitabu tulivosoma au majarida yalikuwa yanatuonesha kwamba ni mama watu wa miaka kuanzia 35 huko.
Ila sasahivi wajane ni vibinti vya umri mdogo kabisa yaani vingine hata 18 havina kabisaa.
Yaani cm yangu kama kuna video ina play nusu inastaki haiendelei tena labda nianze tena upya ikiplay ikafika kipande kile kile inasimama tena.
Na sio video hiyo hivyo tuu ni kila video nitakayo...
Habari Tanzania !
Napenda niwe mshauri wenu kwa hawa vijana.
Ikiwapendeza, anzisheni taasisi mpya kutoka moja kwa moja Wizara ya Fedha iitwe " VIJANA TAIFA BANK". Hii taasisi iwe maalumu kwa...
Wakuu natumaini mko salama,
Naomba kuelekezwa Ofisi za Posta Manispaa ya Ubungo zinapatikana wapi, au ofisi zozote za Posta zilizo karibu na Goba.
Ahsante.
Dereva gari limemshindwa kila kukicha ni kumtupia lawama dereva aliyepita eti ubovu huu wa gari ulisababishwa na yeye pamoja na wasaidizi wake amesahau naye alikuwa ni kondokta wa dereva mkuu...
Salama wandugu, nimesikitika eti huyu mama amesaini makaratasi kuhusu uhuru na suluhu za kibiashara Sasa Jambo moja linanipa ukakasi ni Juu makaratasi ya makazi na ardhi wandugu wakenya siyo wa...
Wenzenu wanaikimbizia mars,
Nyie bado mnakanyagana kisa mafuta.
Wenzenu wanabunu security system za kujilinda na kujihami,
Nyie bado mnakatana vichwa kwa jina la mungu.
Wenzenu wanajaribu...
Bamako, Mali –
Nchi tatu za Afrika Magharibi, Burkina Faso, Mali na Jamhuri ya Niger, zimezindua rasmi benki ya uwekezaji ya kikanda yenye mtaji wa awali wa faranga bilioni 500 za CFA, sawa na...
Makonda aliwai endesha ZOEZI LA KUKAGUA vituo vyote vya polisi na kuamua kutengeneza magari yote yaliyokuwa vituoni kupitia. Sheria za private.
Na alifanikiwa kwa kiasi kikubwa mnoo!
Swali langu...
Hakuna waziri nilikuwa namkubali kama aweso
Ila kwa sasa amenishangaza Sana hivi unawezaje kumnyima mtu maji zaidi ya week mbili,tatu au nne
Waziri kweli unapokea mshahara
Ofsini mnaenda kabisa...
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU KRISTO
Kwa mbali naliona pori la chamwino ambalo limikimbiwa kibabe sana
Watoto wa mjini huwa wanaishi mjini siyo porin
Pumzika kwa aman anko magu ...
Nimefika mwanza siku ya NNE sioni taa za daraja la furahisha je zilikufa na Magufuli?
Je kigamboni Bado zinawaka?
Hata kama hampendi magu tunzeni vitu vyake viwe kama alivyovijnga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.