Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Je, Jaji warioba aliakwa na Rais au yeye ndo aliomba kwenda kumwona? Je, WAJUA tafsiri ya MIKONO nyuma ya Warioba mbele ya raisi? Nadhani hii ndo picha ya kwanza ya kiongozi mkubwa wa nchi...
2 Reactions
12 Replies
784 Views
"Baba Padri (Chesco Msaga) nakushukuru sana kwa kunisaidia uniombee nimalize na mimi kipindi changu, kwa wale wanaotaka niondoke leo labda nikifa leo, lakini kama bado niko hai bado nina mwaka na...
4 Reactions
4 Replies
321 Views
Kuna sehemu sita taja ila nimeona wao ndio walinzi wa mali za mkubwa masaa 24. Majukumu yao yamegeuka walinzi wa mali za CCM.
2 Reactions
4 Replies
242 Views
Waziri wa mambo ya ndani kwa kushirikiana Viongozi wetu wa serikali za mitaa Tunaomba mturudishie jeshi la sungusungu ili kuimarisha ulinzi na amani kwenye maeneo yetu. Sisi wananchi tupo tayari...
1 Reactions
16 Replies
289 Views
Hamjambo! Ukiwa na umri wa miaka 20-35 usipendelee kukaa sehemu moja, mkoa Mmoja au nchi Moja. Huo ndio umri wa kuzurura. Zunguka Tanzania nzima maeneo Muhimu. Ijue nchi yako. Ukimaliza anza...
13 Reactions
35 Replies
1K Views
Habari Tanzania ! Leo hii maisha bora kwa kila Mtanzania imekuwa ndoto na wakati mwingine inaonekana kama ni jambo lisilowezekana na hii ni chanzo cha aina ya watu na uwezo wao wa kufikiria...
0 Reactions
4 Replies
193 Views
Mfuko wa uwekezaji wa pamoja UTT punguzeni ubabaifu katika kuhudumia watu,mnafanya clerical errors na badala ya kuzishughulikia mnampa mzigo mteja.Mkiwa watoa huduma tena mnaoshika vitu muhimu...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Mwaka unaishia na mwingine unaanza. Nawakumbusha tu kuwa tuna ahadi ya milele Allah ametuahidi. Kwahiyo Tujitahidi kufanya mema twende Peponi. Quran 45 : 51 -55 "Hakika wachamngu watakuwa katika...
2 Reactions
5 Replies
190 Views
Wananchi wa Kiharaka Mikocheni, Mapinga ambapo tatizo hilo ni kubwa sana, wanaitaka TANESCO kufanya marekebisho ikiwemo kuondoa watendaji wote waliopo sasa ili kuepukana na uzembe wa...
0 Reactions
0 Replies
206 Views
Wakuu! Nisaidieni mimi ni Dada mtu Nina mdogo wangu alienifuata jinsia (kiume) umri (16) anakabiliwa na madadiliko ya ukuaji kimwili, miongoni mwa mabadiliko hayo ni pamoja na kubadilika kwa...
7 Reactions
52 Replies
1K Views
Wakuu, Hili ni neno la mwaka 2026 kutoka kwa Askofu Mkuu wa makanisa ya Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima ni wakati wa tafakuri sasa Neno ni kutoka Matendo 27:25 "Basi wanaume...
1 Reactions
5 Replies
447 Views
Good afternoon class Naomba kuuliza hivi walimu wanashida gani? Maana kwenye hatua zote tatu asilimia 50 lazma watapeliwe Hatua ya kuomba kazi hapa wanapiga sana, vilio hapa ni vingi mno Hatua...
0 Reactions
11 Replies
237 Views
Wengi wametamani kutimiza ndoto ya kuishi sehemu tajwa ili kujiimarisha, kuendeleza malengo yao kadha wa kadha. Ungependelea kuishi wapi kati ya maeneo hayo, USA, Europe, uarabuni au ubaki...
5 Reactions
98 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana Kwaamaana October tunataka kutic Ni wapi...
24 Reactions
139 Replies
8K Views
Misukule wanauliza pengine mlio timamu muwasaidie kufikisha maswali yao kwa watawala wake 1).Lengo nia au dhamira ya mtawala/watawala ni ipi? 2).Wanasema mnataka wao wawaeleweje? Think wisely...
0 Reactions
3 Replies
206 Views
Sina magrupu ya ngono wala nini basi waseme ni algorithm, yani unaamka asubuhi hii ndio unacho kutana nacho. Kuna namna ya kunyuti utumbo huu?
12 Reactions
73 Replies
5K Views
John 20:19 Wanafunzi walikuwa wamejificha nyuma ya mlango uliofungwa kwa kuogopa Wayahudi... na Yesu anaonekana kwa siri kati yao. Je, alikuwa anaogopa Wayahudi hata baada ya kufufuka? John 20:26...
1 Reactions
11 Replies
253 Views
Nitaeleza kwa kwa ufupi kabisa na kwa lugha nyepesi ambayo hata kilaza kama popoma anaweza kuelewa. Kilicho tokea Tanzania hiyo tarehe 29 Oktoba 2025 ni UPEPO MBAYA period. Kwa vilaza 👇👇👇...
2 Reactions
6 Replies
482 Views
Jamaa mjanja sana baada ya huo uzi hajawaahi tena kuonekana na hicho kitabu hakuwahi kukisema, 😂😂 Jf is a mystery sometimes
1 Reactions
3 Replies
232 Views
Back
Top Bottom