Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1: JORDAN PETERSON https://youtube.com/shorts/bUynwmuTZA0?si=eoQeDd8uByUwS1ar 2: BEN SHAPIRO https://youtube.com/shorts/fBLCnVkJ5vY?si=7Y48SE_E2PL9sukM 3: CHARLIE KIRK (RIP)...
3 Reactions
10 Replies
261 Views
Toa ushahidi au maoni kwa Tume kuhusu matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi mkuu kwa SMS/WhatsApp: 0743 040890 au kupitia https://tume.uchunguzi.go.tz
0 Reactions
3 Replies
86 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameleta tabasamu kwa Wananchi wa Nzali na Itiso baada ya kuanza kutumika kwa Daraja la Nzali lililogharimu Shilingi...
0 Reactions
8 Replies
510 Views
Tupo hapa kusema ukweli na kukemea kila aina ya upendeleo,ubinafsi na ukiritimba kwenye nchi hii na kama kuna mambo yanaenda ndivyo sivyo lazima yasemwe kuliko kuyakalia kimya kwa hili la...
1 Reactions
13 Replies
454 Views
Ukiwa challenged haimanishi mtu amedharau tafakuri yako, lakini namna unavyo react ndivyo inavyo prove ukomavu wa fikra yako. FACTS NO FEELINGS
8 Reactions
64 Replies
770 Views
Hoja inaeleweka sana, na hisia zangu zinawakilisha malalamiko ya watumiaji wengi wa JamiiForums. Kwa kifupi, sababu kuu zinazofanya serikali ya CCM na baadhi ya watendaji wa TCRA kuonekana...
5 Reactions
8 Replies
340 Views
Hello Wakuu. Nimekua najaribu kusajili NGO yangu kupitia mfumo wa NIS jamii. Lakini kila nikifika kuverify NIDA yangu naandikiwa "something is wrong, please try again" Nimeenda office ya NIDA...
1 Reactions
27 Replies
799 Views
kuna media ilikuwa inaongoza kwa kupendwa na watoto na watoto wengi wamejikuta wakiwa kama mazombi au umaskini wa ajabu.
3 Reactions
10 Replies
322 Views
Wakuu nina budget ya 150000, baada ya feni yangu niliyokuwa natumia kuharibika, nikapata idea ya mini A.C. kuna baadhi ya A.C naona zinauzwa, yaani zile A.C ndogo za kusimama. Naomba mtu yeyote...
9 Reactions
37 Replies
845 Views
Wakuu, Tunapoelekea ukingoni mwa mwaka 2025, kuna nyimbo ambazo zikipigwa, moyo lazima usimame na kutafakari. Moja ya nyimbo hizo ni ule wimbo maarufu wa miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000 uitwao...
4 Reactions
6 Replies
410 Views
Hii ni aibu dogo ana 20 anazunguka duniani na Africa wewe una 36 hata nauli ya morogoro huna
5 Reactions
27 Replies
624 Views
1️⃣ Majoho yamekuwepo katika historia ya binadamu kama alama ya mpito wa hadhi—kutoka mtu wa kawaida kwenda mtu mwenye dhamana maalumu mbele ya jamii. 2️⃣ Kiimani, joho humaanisha kujitoa: mtu...
2 Reactions
5 Replies
265 Views
Mmoja kati ya wanafunzi watatu kutoka vyuo vikuu tofauti tofauti jijini Dar es Salaam, waliodaiwa kumshambulia mwenzao wakimgombania msanii na mtangazaji wa vipindi vya redio, Burton Mwemba...
15 Reactions
208 Replies
12K Views
Ukihitaji salamu nenda mbeya kwao Lucas mwashambwa ukamsaidie kulima Mtama mkimaliza atakusalimia,kwangu utaambulia chuya Ukawalishe bata! Sijajua siku hizi vijana wana matatizo gani! Kwa...
15 Reactions
32 Replies
3K Views
Baada ya kupata degree kwa tabu, dogo ameona aje na wajomba wailinde degree yake. Karibu mtaani kijana.
14 Reactions
38 Replies
951 Views
Wakuu! Naomba nielezee na hii walau kwa uchache. Katika pitapita zangu za hapa na pale na kuangalia huku na kule kwenye kujitafuta, kujitafakari, kufikiri na kujichanganya na watu tofauti...
32 Reactions
259 Replies
10K Views
Moja kwa moja. Baada ya tukio la October 7 Hamas kushambulia Israel nilikuwa kinyume na Waislamu wengi wa Jf katika mijadala ya humu tokea siku ya kwanza , na supporters wa Hamas walinipinga...
5 Reactions
19 Replies
428 Views
Kwa sasa, betting ni janga kwa waafrika na neema kwa matapeli na watawala mafisadi. Je, chanzo zaidi ya ujinga na uvivu wa kutafuta ni nini? Alaumiwe nani lati wanaobet, wanaoendesha betting, na...
0 Reactions
1 Replies
146 Views
Back
Top Bottom