Kuna madaraja ya kiwekwa mfano unaposema ili jiji alafu unakutana kuku wanazurura na mbuzi posta samora kweli ni jiji ilo.
Unapoweka hadhi ya sehemu inabidi kuweka masharti na vigezo ili kufata...
Kuna siku za nyuma niliona M-pesa ujumbe umetumwa ukisema cheza kile kindege Aviator link hii hapa.
Siku nyengine natumia tena Sms sijui kuna michezo mipya.
Mfumo jina M-PESA sms unawezekanaje...
Matajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth.
Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty.
Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na...
Sikusikiliza utetezi wake kwakuwa kwa asilimia 100 atakana uhusika na blahblah zingine
Hapa nataka tujadili asili/chanzo cha tatizo mwendelezo hadi ukomavu na athari zilizotokea sasa
Tatizo...
Wakuu kunazidi kuchangamka
Watu kadhaa waliojitambulisha kama waumini wa kanisa katoliki wametoa tamko lao kueleza kutopendezwa na maneno aliyoyatoa Askofu Mkuu wa Jimbo la Dare es salaam, Askofu...
Guys ni kingereza fasaha lakini matumizi yake, na anavo tumia Fulani sio sahihi, guys tumia kwa vijana na lika la kawaida, wazee wetu kuwaita guyz ni kipimo Cha dharau na kuto jitambua, naomba...
1. Viongozi wa TEC.
Bila kujali nguvu yao katika jamii serikali iwakamate viongozi wa TEC wote. Hawa ni sehemu ya waratibu wa machafuko ya 29/10/2025. Ikiwaonea aya serikali ijiandae kuvuna ya...
TANESCO MAKAO MAKUU, S.L.P. 453. DODOMA, TANZANIA, SIMU 180
TAARIFA KWA UMMA CHANGAMOTO YA MANUNUZI YA UMEME
Jumamosi 27 Disemba, 2025
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja...
Kama una Bawasili sugu au Uti wa mgongo haupo sawa basi achana na safari za mabasi ya kichina na ukikuta siti za nyuma kata for your own risk
Nipo kwenye bus siti ya nyuma limepita kwenye tuta tu...
Wakati Dunia ikisherekea sikukuu za Christmas na kupeana zawadi kemu kemu. Na Santa Claus "Father Christmas" akisemekana kuzunguka hapa na pale kutoa zawadi. Wadau wamehoji mbona hawajawai kumuona...
Hello,
Nataka kuwa buddhist, nataka nifanye zile meditation kama monk niweze kuumasta huu mwili na hii akili.
I beleive in Buddha, natafuta temple kwa Bukoba, Mwanza au Mara.
Someone please...
Yaani kwenda kucheza pambano moja kisha kurudi zake Tanga
Wazanzibar wamejaa choyo husuda nongwa hadi kuandika barua kupinga mtanganyika kucheza pambano lake Huko Zanzibar
Wanasema hiyo ni fursa...
Habari wakuu!
Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wanaokunywa pombe kali. Wengi hudhani ni fasheni, njia ya kujiburudisha au kuondoa stress. Lakini ukweli ni kwamba pombe kali ina madhara...
Mimi kama mtanzania mzalendo nasikitishwa sana na taasi za umma ambazo zinatumia fedha za umma katika kazi zinazotekelezwa kwa viwango vya chini hatimaye kutumia fedha nyingi za wananchi katika...
Wakuu niaje
Mimi binafsi
Nawatakia heri ya Christmas na mwaka mpya 2026 members wote wa JF,
Ujumbe ni mmoja tu
Sometimes we create our own heartaches through expectation.
Tuma salamu na heri...
Pale mawasiliano tower sio wageni ila hii sehemu ndio unaambiwa kama vitafungwa vifaa vya mawasiliano juu kama huduma za internet za majumbani au vifaa vyengine.
Hapa mpaka aliye...
Boxing Day inaadhimishwa tarehe 26 Desemba ikihusishwa na desturi ya kugawa zawadi au msaada kwa watu wa hali ya chini
Boxing Day au ikifahamika zaidi kama Siku ya Zawadi ni muda wa kufurahia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.