Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama umefika Korea kaskazini, Japan, Malaysia, Taiwan, Singapore, China au tuseme nchi za asia zote mpaka urusi nayo. Yani wanawake na wanaume wanashindana kwa uzuri kwa kukipodoa. Sijui kama...
1 Reactions
0 Replies
173 Views
“Wakati huo pazia la hekalu likapasuka vipande viwili, toka juu hata chini. Dunia ikatikisika, miamba ikapasuka. Makaburi yakafunguka, na miili mingi ya watakatifu waliokuwa wamelala ilifufuka...
10 Reactions
294 Replies
8K Views
Wadau, Natumaini mnaikumbuka ile stori ambayo ilitrendi hapa JF kwa miezi kadhaa kuhusu Mtanzania ambaye ni Dereva wa magari makubwa ya mizigo, Juma Ally Maganga (45). Alikuwa amehukumiwa...
5 Reactions
13 Replies
686 Views
''i wouldnt worry too much abaut him. He about to die'' amesema demu wa kisomali akimwambia E.Musk na yeye Musk akamjibu kwamba then its war ...
1 Reactions
4 Replies
301 Views
Habari Tanzania ! Nimeweka mfano wa picha kwa msaada wa tehama. Mnaonaje tukiwa tunavaa hivi wanaume kwa wanawake kama vazi rasmi la utambulisho kitaifa. Asante.
4 Reactions
17 Replies
318 Views
December 2025 UNEP Yamteua Mwanamuziki wa Rapa mTanzania Frida Amani kuwa Mtetezi wa Urejeshaji wa Mifumo ya Ikolojia by Leo Muzivoreva Rapa mkali Frida Amani Shirika la Mazingira la Umoja wa...
1 Reactions
2 Replies
204 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kitengo cha Rushwa na Uhujumu Uchumi, imemhukumu Hemed Juma Mrisho maarufu kwa jina la “Horohoro” kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa...
1 Reactions
8 Replies
739 Views
Kwa wale ambao walifanikiwa kuzaliwa katika familia nzuri wakakuta kila kitu kipo, kama walikuwa na akili nzuri ya maisha basi kabla ya miaka 30 wanakuwa wameshamaliza kujitafuta na kuweka msingi...
17 Reactions
68 Replies
1K Views
1.Bomu/kombora au ndege ya vita kutoka angani kufyatuka na kwenda kuteketeza makazi ya watu... Tukio hilo litafuatiwa na au litaambatana uvamizi wa watu wenye silaha za moto sehemu flani. 2.Mvua...
2 Reactions
12 Replies
823 Views
Vifo vingi vimekuwa vikitokea hapa. Juzi tu, kuna vijana watatu wamefariki maeneo ya uchimbaji maarufu kama Zanzibar. Hali hii ya kusikitisha imesababishwa na baadhi ya wasimamizi wa migodi ambao...
3 Reactions
15 Replies
836 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Kighoma Malima, kufuatia vifo vya watu kumi katika ajali ya...
1 Reactions
0 Replies
205 Views
Ukistaajabu ya Musa...Arusha Technical College ni kati ya vyuo Bora na vyenye sifa nzuri hasa kwenye swala la ufundi ndo maana serikali imeipa pia jukumu la kufundisha madereva na kutoa vyeti...
1 Reactions
1 Replies
746 Views
Wewe unamiliki kiasi gani mkuu utupe insparation. NB majina sio halisi
2 Reactions
32 Replies
814 Views
[emoji23][emoji23][emoji23] Mbulu hapana aisee kuna mahali panaitwa magara ukitokea bara bara kuu inayokatisha manyara kuelekea dom,mwanza kuna njia ya kuelekea mbulu inaanza na changawawe alafu...
10 Reactions
30 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Pigia kura Member bora wa JF kwa vigezo. Mimi nimeona tuanzie kuwapigia kura hawa. Pendekeza nan aongezweKwa List Disclaimer: Haya ni maoni yangu binafsi. Na pia sio ushindan na hakuna zawad...
10 Reactions
77 Replies
4K Views
Naombeni tusaidiane Unaweza kumsamehee mtu aliyekuibia haki yako ya kupiga kura,na bado akakuulia wanafamilia wako waliokuwa wanadai haki na bado asikukabidhi mili yao akaitupa kama mizoga Haki...
2 Reactions
3 Replies
124 Views
Ukipita na kusikiliza kinachohubiriwa kwenye makanisa ni juu ya kukemea mapepo na majini wabaya, kuombea wachawi na mambo mengine ya kishirikina Je kuna uhusiano gani wa moja kwa moja kati ya...
8 Reactions
89 Replies
1K Views
Kiukweli Magufuli alipofariki niliumia sana, lakini pia nilifurahi kuona Tanzania inapata Rais mpya wa kike. Nilikuwa niko curious kujua uongozi wake utakuwaje na nilikuwa na matarajio makubwa...
8 Reactions
12 Replies
284 Views
Nimefanya utafiti na kupata uhakika juu ya hili. Pombe unalewa na ukiweza kuzicontrol unalewa na kwenda kulala. Japokuwa zinawazidia wengine kiasi cha kupoteza harakati za kimaisha lakini athari...
9 Reactions
77 Replies
1K Views
Hadi kufikia maamuzi haya ya kutaka kuondoka nchi yangu kuna mambo mbalimbali ambayo kila siku yananipa mawazo. Mambo yanayonikosea furaha 1. Ugumu wa kupatata ajira yenye mshahara mkubwa. 2...
20 Reactions
102 Replies
6K Views
Back
Top Bottom