Kuingia nyumba za kulala wageni asubuhi idhibitiwe kama pool table

Watu kama nyinyi ndo mmebadilisha dhana ya matumizi ya Nyumba za wageni na kuzifanya za wenyeji,matumizi yake yapo wazi na yanajulikana,kwa maoni yako hilo halina mantiki,shauri kingine
Duh kazi kwel kwel, yaani wewe unaangalia definition ya neno guest house na sio matumiz ya nyumba izo
 
Yaani nimesafiri naenda mfano: Iringa mji ambao sina mwenyeji nimefika asbuhi, na hwenda nikaka siku tatu, na nina begi langu. Nisipewe chumba mpaka jioni au mchana. Wewe umeangalia huduma za guest, kwa kuhudumia wenyeji zaidi sio wageni.
 
Ndo umshangae sasa...tatizo dhana ya huduma za guest house wameigeuza kwa mambo yao ya short time
 
Back
Top Bottom