Mkazi wa Dar es Salaam, Simon Bryson amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kugharamia matibabu ya mtoto wake Nilsa Simon kufuatia ombi lake kupitia...
Hapa kuna orodha ya baadhi ya elimu/mada tata ambazo zimepigwa marufuku au kuzuiwa sana kufundishwa vyuoni katika nchi mbalimbali duniani (hadi mwaka 2026):
- Afghanistan (chini ya Taliban)
-...
POLISI WAKANUSHA TAARIFA YA KUCHOMWA KWA NYUMBA YA ASKARI ARUSHA.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limekanusha taarifa inayosambaa katika mtandao wa kijamii ikieleza kuwa nyumba ya kiongozi wa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amekemea tabia ya baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Morogoro kutupa takataka...
Kwanza nikiri, Mimi siitambui hii Serikali kama Serikali Halali , na hii inanipa ugumu wa kushauri kwakua sitaki nitaje neno 'Serikali'.
Lakini pia, Andiko hili ningemtaja Waziri Gwajima, ila...
Naombeni mnisaidie dawa itakayo maliza kunguni maana wamevamia chumba changu
na pia nimeckia ile dawa ya RUNGU spray yaweza ua kunguni je hii ni kweli?
Msaada please namna ya kuwatoa hawa wadudu...
Kwa mfumo wa sasa wa malipo ya ving’amuzi vya TV, kifurushi cha mwezi hukatika baada ya siku 30, bila kujali kama mtumiaji ametazama TV kila siku au la. Hii inamaanisha kuwa hata ikiwa mtu...
"Mkurugenzi wa Fedha na Utawala (Director of Finance and Administration) wa Mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA), CPA George Mahigu Seni, amesimamishwa kazi kwa kupinga mauaji ya watu wasio na...
Wananchi wa Mkoa wa Geita wamehimizwa kuacha tabia ya kuwaogopa askari polisi na badala yake wawaone kama ndugu wanaowalinda, si maadui.
Wito huo umetolewa na Kamishna wa
Polisi Jamii Tanzania...
Hii nchi bwana mmajua Kenya wanatupiga gape sana kwa kuzalisha basi zao za ndani pasipo kutegemea nnje sasa nashangaa hawa ndugu zetu walikuwa na viwanda vya kuunda bodi za magari sijui vilikufa...
Jamaa amekufa bila kuacha alama yoyote kama juhudi zake za kuleta maendeleo jimbo la kigamboni
Alale salama au asilale salama atajijua mwenyewe,
Sio shida zangu
Nimekuwa nikiandika makala nyingi sana kuhusu kuwepo kwa ongezeko la vijana katika magenge ya kihalifu wilaya ya bunda hasa kata ya bunda mjini.
Kwa kifupi kata ya bunda mjini inaundwa na mitaa...
KWA WANAWAKE UTAJIFUNZA KUWA NA OPTIONS ZAIDI YA MOJA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Moja ya faida kubwa utakayoipata ukiwa mtu wa kupenda wanawake, basi ni kuwa na options zaidi ya moja...
Kuna magari kadhaa makubwa ya mizigo inadaiwa ni kutoka Rwanda yamepata ajali eneo la Mto Kikafu katika Barabara ya Moshi - Arusha na kufunga njia kwa zaidi ya Saa 10 sasa, kukiwa hakuna mpishano...
Kila Mtu Tarehe Yake Ya Kuzaliwa Inaanguka Kwenye Kalenda Ya Yesu Kristo
Ulishawahi kufikiria hili?
Tarehe yako ya kuzaliwa, iwe 1990, 2000 au 2025, haijajitegemea. Imehesabiwa kwa msingi wa...
Mwanzoni nilikuwa najua mentor hutoa guidelines za mafanikio.
Lakini ukweli ni kwamba njia alizotumia X kufanikiwa ni tofauti na njia utakazo tumia wewe Y kufanikiwa ukiiga utaishia kuingia...
Wananchi wa Kata ya Badi Vijiji vya Mashimba na Mhadi wilaya ya Maswa mkoani Simiyu Wameishukuru Serikali kwa Kuwalipa fidia zao Kutokana na kuchukua maeneo yao ili kupisha njia ya umeme mkubwa...
Habari wanajamii,
Leo naomba kuwasilisha kero yangu ambayo kwa sisi wakazi wa Ushirika wa Neema, Moshi inatukwaza sana, nayo ni KERO YA MAJI.
Inashangaza kuona eneo kama Ushirika wa Neema kuna...
Ngoja niwasanue wananchi wenzangu
Siku hizi wilaya Bagamoyo (Mapinga, Kerege, Kiaraka), ambapo wengi wetu wafugaji wa kuku ndiyo tunafanyia ufugaji mkubwa)
Nimekuwa naona makundi ya wakina mama...