Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa mara ya kwanza madaktari bingwa bobezi kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wakishirikiana na wataalam kutoka Pennsylvania Marekani wameanza kutibu pingili za mgongo kwa...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Kisa Kinachosambaa sasa nchini Misri.. Vyombo vya habari nchini Misri vimesambaza kisa cha kusikitisha cha daktari mmoja aliyetumia zaidi ya miaka 30 akifanya kazi nje ya nchi yake, akiwa nchini...
3 Reactions
15 Replies
347 Views
Hii ni Shule ya Muhamani Kigoma Vijijini, choo kimejaa na Wanafunzi wamerudishwa nyumbani, Madarasa hayo yanatumika na ni mabovu, Serikali isikie kilio chetu na itusaidie, tunahitaji msaada wa...
0 Reactions
9 Replies
358 Views
Hellow nipo DAR ES salaam, Tanzania ninaomba Msaada (Guidance) WA kupata documents zinazokubalika kufanya verification ya residential address kwenye account ya payoneer, Nimejaribu bank statement...
0 Reactions
3 Replies
780 Views
Mnamo mwaka 2013 baba yangu alikutana na mchungaji mmoja huko Moshi na baba yangu akamueleza kiu yake ya kuwa karibu na Mungu kwani ujana wake hakuwa mtu wa kwenda kanisani. Mchungaji(jina...
36 Reactions
241 Replies
26K Views
Naomba kuelekezwa jinsi ya kufungua account Hadi ntakavyotoa pesa kwenda kwenye bank account yangu
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Tumekuwa tukimshutumu Mseveni Kaguta kuwa Rais Dikteta Kwa kuwa amekaa madarani miaka zaidi ya 40 Sasa Hapa majuzi ameinyesha ukomavu kiasi fulani, hapo kasoro zipo 1. Mchakato wa uchukuaji form...
4 Reactions
9 Replies
257 Views
Anonymous (e413)
Watumishi wa Shirika la nyumba (NHC) kwakushirikiana na madalali wa kuhamisha vitu kutoka kwenye ofisi mbalimbali maarufu kwa “Brokers” wamevamia ofisi yetu iliopo posta jijini Dar es Salaam na...
0 Reactions
2 Replies
219 Views
JINA langu naitwa mchele, sisi mchele tupo makundi zaidi ya 67 ila wengi wametukalili kama ; Mchele mkuku Mchele Mpya Mchele wa super Mchele wa Brown Mchele wa plastiki Mchele wa plastiki, huu...
2 Reactions
12 Replies
325 Views
Hawa Morocco huwa wao wapo Kimakosa Afrika. Wanadharau sana na kutuona sisi ndugu zao si wa maana. Jana waliumia sana. Senegal kwa kweli Mungu wetu amewasimamia vyema kabisa. Ile dharau ambayo...
1 Reactions
4 Replies
226 Views
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye. Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
23 Reactions
289 Replies
25K Views
Kijana akieleza kwa machungu kisa kilichumpata hadi kukatwa mguu wake alipigwa risasi akiwa maeneo ya gongo la mboto kisha kapelekwa hospital na kukatwa mguu alikuwa na pikipiki polisi waliondoka...
5 Reactions
6 Replies
320 Views
Neno Injili ni neno lenye asili ya kiarabu ambalo shina lake linatokana na neno "euangelion" lenye asili ya kigiriki lenye kumaanisha "habari njema" ambalo liliingizwa kwenye lugha ya Kiarabu toka...
10 Reactions
108 Replies
1K Views
SHETANI NI NANI? Kwa wale waliokuwa wakiuliza juu ya habari ya shetani.... hii inawahusu Shetani kwanza kabla ya kujua ni nani na anakazi Gani au katokea wapi inabidi tutambue kuwa Shetani siyo...
5 Reactions
20 Replies
525 Views
𝐊𝐀𝐍𝐈𝐒𝐀 𝐋𝐀 𝐒𝐈𝐑𝐈 𝐋𝐀 𝐈𝐑𝐀𝐍: 𝐈𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐈𝐍𝐀𝐘𝐎𝐊𝐔𝐀 𝐂𝐇𝐈𝐍𝐈 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐓𝐄𝐒𝐎 Tangu Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979, Iran imekuwa moja ya nchi zinazodhibiti kwa ukali sana uhuru wa dini, hasa kwa wale wanaoacha...
2 Reactions
7 Replies
377 Views
yaani haina haja ya kuwalaumu watu wanaofanya illegal activities kujipatia pesa as long hawaumizi mtu. UKizaliwa familia maskini..kufanikiwa kimaisha ni mtihani sana sana
5 Reactions
7 Replies
213 Views
Tatizo la huduma ya mnara wa kampuni ya TTCL katika mkoa wa SINGIDA , wilaya:IKUNGI ,kata :MISUGHAA. Mnara huu unachangamoto ya nishati inayotumika haitoshi kabisa sasa ni mwezi unaisha na siku...
0 Reactions
7 Replies
233 Views
bado sijaelewa hivi hawa ice ambao wako kwenye news kila mahali tatizo liko wapi? kwa nini stress hizi zoote na maandamano ya kuwapinga, je, wanaonea watu au tatizo ni nini? nilifikiri labda...
5 Reactions
31 Replies
482 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…