Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu kwema ! Heri ya mwaka mpya Moja kwa moja kwenye hoja Nataka kuambiwa haraka sana Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani ktk Jimbo ? Nauliza hvyo kwa sabqbu nimemuona Mbunge wa viti...
3 Reactions
10 Replies
332 Views
Sina mengi ila nina mfano tu mdogo, Mtu anakuambia "mpige huyo mtoto mchanga" Kwa kawaida utashi uliozaliwa utakuambia hii sio vyema kabisa, tafakuri yako itasaidia usute nafsi yako thus utaacha...
3 Reactions
4 Replies
261 Views
Uganda hawana bandari. Tanzania ni kubwa karibu mara nne ya Uganda. Uganda imetawaliwa na 'dikteta' kwa miaka 40 sasa. Lakini ajabu wametuzidi GDP per capita, yaani pato la mtu mmoja mmoja. Hata...
3 Reactions
60 Replies
852 Views
Habari zenu wananzengo Mimi ni mkazi wa mji mdogo Lushoto, nimepata mwaliko wa kwenda Korea Kusini ambako nitaishi huko kama miezi 3 hivi, sasa nilipenda kuifahamu vizuri nchi hii kwa upande wa...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Soma hili tangazo We are moving back to our country and we've decided to sell our household items and appliances. Text me via WhatsApp for more info: +44 7360686752 Pick up or can help deliver...
5 Reactions
16 Replies
372 Views
Mabango ya kampeni (kama posters, billboards na matangazo ya uchaguzi) yanadhibitiwa na Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani (No. 1 ya 2024) na sheria ndogo za halmashauri za mitaa...
10 Reactions
16 Replies
430 Views
Unajua ni ile mikumbo tu, ila mkoa wa Dar es salaam hakufai watu kuishi ni mahali kama unabiashara zako unaenda unakaa hata wiki 2 kisha unatoka sababu UV kwa Dar es salaam inafika hata 14 kwa...
8 Reactions
39 Replies
953 Views
Gharama za mwaka MACHINGA Rushwa kwa mgambo - 50,000 Fremu - Shilingi sifuri Kodi ya Fremu kwa TRA - Shilingi sifuri Kodi ya biashara TRA - Shilingi sifuri Leseni ya Jiji - Shilingi sifuri...
3 Reactions
11 Replies
407 Views
Maisha yamekua fumbo pale utakapojiuliza baadhi ya maswali mbali mbali kuhusu wewe, haswa utakapo jiuliza "mimi ni nani ?", Nimetokea wapi ?, nipo hapa kwa kusudi gani ? Na pale akili yako ikianza...
4 Reactions
6 Replies
472 Views
🤜 NA Olyme Songo III Maisha yamekua fumbo pale utakapojiuliza baadhi ya maswali mbali mbali kuhusu wewe, haswa utakapo jiuliza "mimi ni nani ?" Nimetokea wapi? Nipo hapa kwa kusudi gani? Na pale...
13 Reactions
37 Replies
2K Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeunga mkono na kufungua kesi ya kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania (Kanda Kuu Dodoma) kupinga uhalali wa matumizi ya adhabu ya viboko shuleni...
2 Reactions
11 Replies
532 Views
Nini maana ya kuwa baba, kwa bahati mbaya katika jamii zetu za kiafrika, ukiuliza hili swali utajibiwa kwa kwa kejeli kwani aliekulisha, kukusomesha na kukuvalisha.
4 Reactions
7 Replies
433 Views
My people, Unapomuacha mtoto wako aache sahani mezani baada ya kula sio tu kwamba unamfanya awe na tabia mbaya bali unamtengenezea mazingira ya kuwa na future mbaya huko ukubwani. Mtoto...
4 Reactions
7 Replies
340 Views
BIBI kikongwe Khadija Isihaka (84), amemwangukia Rais Samia Suluhu Hassan,akimsihi aingilie kati mgogoro wake na mwekezaji Munir Harbesh, anayelalamikiwa kuvunja mkataba wao wa kumiliki jengo la...
2 Reactions
13 Replies
550 Views
2026 THE YEAR OF ACTION I AM Sehemu ya kwanza 1... SIRI YA KINAMBA YA 2026 2 + 0 + 2 + 6 = 10 → 1 Hii si hesabu ya kawaida. 10 ni Namba ya Mzunguko Kamili, na 1 ni Mwanzo wa Uumbaji...
1 Reactions
1 Replies
196 Views
Sisi wanatuona kama ni Nyani. Suala la ushindi wa Senegal limeonesha jinsi gani jamaa wana chuki na watu weusi. Ile match ni Miungu yetu ilitusaidia kuonesha nguvu zake. Kwa kweli imetuheshimisha...
2 Reactions
5 Replies
192 Views
Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ambaye pia ni mwanafamilia wa karibu wa marehemu Mzee Edwin Mtei, amesema kuwa Mzee Mtei alikuwa Muasisi wa...
0 Reactions
1 Replies
185 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu picha mjongeo inayosambazwa katika mitandao ya kijamii ikionesha Askari Polisi akipambana na mtu mmoja huku akiwa na...
7 Reactions
42 Replies
1K Views
  • Redirect
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya limetoa ufafanuzi kuhusiana na video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Askari wa Jeshi la Polisi akipambana na mtu mmoja huku akiwa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Hawa walimu Kuna mda huwa nawaza ni binadamu wenzetu kweli? Kuna vitu wanavifanya utafikiri hawajasoma vile. Wanakopa too much mpaka wanaacha kadi kwenye vitaasisi vya mikopo kama bayport na...
12 Reactions
74 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…