Soul21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 210
- 351
Bila kupepesa macho star link ni internet ya ukoloni. Wazir Mwigulu lazima afahamu kuruhu Star link Tanzania basi ameruhusu vita ya baadae kuwa rahisi
Starlink ni Silaha inayolinda maslahi ya Marekani duniani.
Mfano hai ni Ukraine kinachotokea ni maamuzi ya serikali ya Washington kwa Starlink na hii ni mtego ambao Irani walifanikiwa kuukwepa.
Hivyo, Serikali iwe makini katika kuruhusu Starlink Tanzania