Kama kuna siku vijana wamejisikia kama wako kwenye onyesho la futuhi—lakini lisilo na kicheko chochote—basi ni siku ya usahili wa ajira wa Air Tanzania leo pale DUCE. Kilichotarajiwa kuwa zoezi la...
Kwa mara ya kwanza natumia ukurasa huu kwa kulipongeza Jeshi la Polisi wilayani bunda kwa kuanza kufanyia kazi kero ya ongezeko la vibaka na wahalifu hasa kata ya bunda mjini,operation ambayo...
Mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 11, darasa la sita anayefahamika kwa jina la Lightness Mkiindi, mkazi wa Mtaa wa Namayana, Kata ya Ilboru, wilayani Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia...
Naendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa...
Kwa mujibu wa Uislamu:
🔹 1. Aliyetunga Muhamad
Waislamu wanaamini kuwa Qur’an ni neno la moja kwa moja kutoka kwa Mwenyezi Mungu (Allah).
Haikuandikwa au kutungwa na mtu yeyote—bali...
Wanabodi,
Wakati tukiendelea kuugulia msiba wa Mwanahabari Daudi Mwangosi, kitendo cha kupigwa na polisi hadi kudondoka chini na kamera yake mkononi bila kuiachia, akamkumbatia ofisa huyo wa...
Kuna kauli imezoeleka ya malipo ni hapa hapa Duniani, hivyo basi samba samba na kauli hii elekezi, ndugu wadau na wajumbe wote naomba kujua alipo yule ambae alipewa tuzo ya kupandishwa Cheo na...
1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, salamaleko alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake,
Hivi ukisema Asante Mungu utakufa?
2. Mgogo au Mluguru na kipiripiri chake eti...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amesema katika kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu wanaoingia nchini. Idara ya Uhamiaji imedhibiti na kufunga jumla ya Vipenyo Elfu Moja Mia Saba...
TTCL (T Pesa) inasumbua wateja wanashindwa kutoa fedha zaidi ya muda wa siku nne mfululizo na hakuna majibu yanayoridhisha kutoka kwa customer care
Majibu yao ni "Kuna hitilafu ya kiufundi...
Wakuu wa Jukwaa, leo na mimi nina swali ambalo linakua linanitatiza sana kichwani kwangu kwa muda kidogo sasa.
Nimekua napitia hali ya kujiuliza maswali mengi sana juu ya kiumbe hiki kinachoitwa...
Waandishi wa kitabu cha zaburi
Zaburi ni nini katika Biblia
Zaburi maana yake ni nyimbo takatifu. Hivyo kitabu cha Zaburi katika biblia, ni kitabu cha nyimbo takatifu. Zimeitwa nyimbo takatifu...
Nakiri kupokea barua yako yenye Kumb. Na. SAE. 3511527/L ya tarehe 21 Januari 2026, ikinitaka kufika kukutana na Tume tarehe 31 Januari 2026, kuanzia saa 2:00 mchana hadi saa 9:00 alasiri katika...
Habari zenu
Mara nyingi hua nasikiliza story mbalimbali za maisha ya jela nchi tofauti tofauti. Ubakaji wanaume kwa wanaume, madawa ya kulevya, ukatili, nk
ila hua siskii sana story za maisha ya...
Mwaka 2016 gazeti la Irish Times liliripoti kwamba mwanamke mmoja raia wa Austria mwenye umri wa miaka 18 aliwafungulia kesi wazazi wake kwa kuchapisha takribani picha 500 zake mtandaoni bila...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete ameeleza Ndani ya siku 100 za Rais Samia ameajiri walimu 7000 na watumishi wa afya 5000
Wakati akihojiwa na Crown Tv Prof. Anna Tibaijuka amesema Mikataba yote inahusu Rasilimli za Taifa inapaswa kupelekwa Bungeni lakini isipopelekwa ni madhambi”
Soma Pia: Prof. Tibaijuka: Huwezi...
Neno “Zaburi” linatokana na lugha ya Kiebrania ya kale, ambapo huitwa "Tehillim", likiwa na maana ya “sifa” au “nyimbo za sifa kwa Mungu.” Katika tafsiri ya Kigiriki, Zaburi huitwa "Psalmos", neno...