Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jitahidi usiwe na too much expectations kwenye chochote kile iwe kwenye mapenzi, uchumi, kisiasa, kijamii. Hii itakusaidia badae mambo yakiwa ndivyo sivyo.
7 Reactions
21 Replies
280 Views
Jaji Wilson Dyansobera kutoka Mahakama kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam amesema baada ya Mahakama kusikiliza hoja za pande zote mbili (2) na kupitia kwa makini kiapo cha mwombaji aitwaye...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Hakuna haja ya kuongeza neno, Taarifa yake hii hapa. --- Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura amesema jeshi hilo halihusiki na matukio yanayodaiwa kuwa ni ya utekaji, kwani...
4 Reactions
62 Replies
14K Views
Rais Wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, viongozi mbalimbali pamoja na wananchi kwa ujumla wameombwa kujitokeza kumchangia Said Mikidadi anayesumbuliwa na uvimbe mkubwa ili apate matibabu na...
1 Reactions
2 Replies
202 Views
  • Redirect
5 Reactions
– Replies
– Views
Kwa nini mpaka sasa mamlaka haijaachia huru mtandao wa JAMII FORUM kupatikana kwa watu wote hata baada ya tarehe ya kifungo kuisha? Kuna maelezo yoyote kuhusu swala hili? Mjumbe
6 Reactions
13 Replies
166 Views
Kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali A.S aliyeuwawa kikatili kuulinda, kuutetea na kuupigania uislam dhidi ya dhulma, ukandamizaji na unyanyasaji. Tunakulilia...
4 Reactions
15 Replies
306 Views
Streamer of the year Ishowspeed, worth tens of millions, toured 28 African countries in 20 days with a U.S. passport. Africa’s richest man, Dangote worth about $30B, needs ~35 visas to move...
0 Reactions
12 Replies
346 Views
Na Mwandishi Wetu. Tume ya Ushindani (FCC) imeweka mikakati mbalimbali ya kuimarisha utoaji wa huduma bora kwa wananchi kwa wakati kwa kutumia mifumo ya kisasa katika utekelezaji wa majukumu yake...
0 Reactions
0 Replies
134 Views
Polisi waanza kuwatembelea VyaPombe; Staff Sagenti wa Polisi ( S/SGT) Sabas ambaye ni Polisi kata wa Kata ya Nawenge Tarafa ya Vigoi Wilaya Ulanga alipotembelea vilabu vya pombe za kienyeji...
2 Reactions
6 Replies
213 Views
Nawakilisha jamani tumeona watu wakiungama mfano Kanisa katoliki yaani mtu anaenda kuungama kwa padri na kusamehewa dhambi zake hivi hii imeakaje? Hata rafiki kipenzi changu Tundu Lissu simba wa...
5 Reactions
48 Replies
501 Views
Ilikuwa asubuhi na mapema nilifungulia redio moja maarufu sana hapa nchini (jina kapuni), mara akasikika motivational speaker mmoja (naye jina kapuni) akisema:- "ukitaka kufanikiwa kimaisha...
21 Reactions
119 Replies
5K Views
Utamjuaje Mganga Taperi. 1) Muonekano wa Nje Ukiona mganga amevaa matunguri mengi kwenye mwili wake huyo sio mganga amini,Hana uwezo wa Kufanya mambo makubwa huyo, Mganga kabisa Huwezi kukuta...
6 Reactions
20 Replies
883 Views
Hali ilivyo kuhusu changamoto ya ubahaba wa maji safi na salama kwa Wakazi wa Kijiji za Baraki, Kata ya Baraki Wilaya ya Rorya Mkoani Mara ambapo kuna takribani Kilometa 5 tu na lilipo Ziwa...
1 Reactions
5 Replies
282 Views
Anonymous
Sisi wakazi wa Goba Mitaa ya Nasary & Mwanzo tuna kero kubwa ya kukosa maji, unakuta tunapata mara 3 au 4 kwa Mwaka😢 wakati ambapo mitaa ya jirani wao wenyewe wanapata walau mara moja kwa mwezi...
2 Reactions
15 Replies
354 Views
Wauguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wamepatiwa mafunzo maalum yanayolenga kuwajengea uwezo wa kutambua, kuepukana na kudhibiti msongo wa mawazo unaotokana na mazingira...
2 Reactions
2 Replies
207 Views
Serikali kupitia Wizara ya Uchukuzi imetangaza hatua mbalimbali za kuboresha usafiri wa wanafunzi katika maeneo ya mijini, kufuatia malalamiko ya wanafunzi kuhusu kunyanyaswa na baadhi ya wahudumu...
0 Reactions
0 Replies
298 Views
Tanzania na baadhi ya nchi za Afrika kwa ujumla, watu wengi hawana tabia ya kufanya mazoezi ya mwili kama gym, workout au mazoezi yaliyo pangiliwa kwa lengo la kiafya ile fitness. Hawa ni wachache...
6 Reactions
20 Replies
480 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…