Ni haramu mwanaume kutegemea kamari kama njia riziki.

Yan kama sio ushenz na upuuz,unawezaje tegemea kamari kama njia ya riziki.Badala ufanye kazi upate hela unayoiona,ww unasubiria hela ya mafikirio.kama washenzi wengine hapa dar,kwel hapa bongo kweli tuna machiz
Kwa hiyo Mimi ni mshenzi, siyo?
 
Yan kama sio ushenz na upuuz,unawezaje tegemea kamari kama njia ya riziki.Badala ufanye kazi upate hela unayoiona,ww unasubiria hela ya mafikirio.kama washenzi wengine hapa dar,kwel hapa bongo kweli tuna machiz
shida sio kamari mkuu, watu hawana option namba 2 ....ukiona mtu anakomaa na kamari kama kipato huyo ameisha feri......
 
Kwa dunia ya AI invyoenda Kamari,Content Creation zitakuwa ndio kumbilio la vijana, hasa wanaogopa Kilimo maana speed ya AI kwenye kuchukua kazi za watu inatisha.
 
Yan kama sio ushenz na upuuz,unawezaje tegemea kamari kama njia ya riziki.Badala ufanye kazi upate hela unayoiona,ww unasubiria hela ya mafikirio.kama washenzi wengine hapa dar,kwel hapa bongo kweli tuna machiz
Unazidi kuwachanganya mkuu, na wameanza kukutukana
 
Back
Top Bottom