Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari hii ni ya kweli kabisa. Sio chai wala udaku. Taharuki imetanda katika mji mmoja baada ya tukio la kutisha lililowahusisha vijana zaidi ya 40 walioshambuliwa na wanyama wakali wa porini...
8 Reactions
48 Replies
2K Views
Wapo wanaouona ukweli kila siku… lakini bado wanachagua kuamini wanachoambiwa. Wananyamaza. Wanakubali. Na hata wanakitetea kana kwamba ni hakika. Waache. Usibishane nao. Usijichoshe...
3 Reactions
11 Replies
191 Views
Nimeona Jana Mtoto Wa Ndugai Anahojiwa yupo Strong Hata Halii Sisi Misiba yetu Mtoto Anagala gala Anazimia Akikumbuka Mzazi Hakuna Urithi Aliouacha Anaongeza sauti ya Kulia.🤣 Imagine mzee anakufa...
23 Reactions
53 Replies
2K Views
guest-1795378001
Jengo la nyumba yako ni nyumba ya ibada ,Sebule yako sitting room ni madhabahu, Bed room yako na kitanda chako ni madhabahu. Wewe mwenyewe mwili wako ni nyumba ni hekalu na nafsi yako pua ni...
1 Reactions
13 Replies
474 Views
Mkuu wa mkoa wa Tabora, Paul Chacha ameagiza kukamatwa kwa Bodaboda aliyempa mimba mwanafunzi wa shule ya sekondari Tabora Wasichana (Tabora girls) kuhamishwa kwa walimu wenye miaka zaidi ya 10...
6 Reactions
72 Replies
4K Views
Hii yote ni kwa sababu media karibia zote za Tanzania zimeacha PROFESSIONALISM, zimeacha kuipasha jamii habari ambazo ziko balanced, wameleta censorship kwenye uhabarishaji wa jamii. Kibaya...
2 Reactions
9 Replies
393 Views
NRNE 🔨 Leo nimekumbuka wayback mkasa wa kama miaka 6 hivi nyuma. Kuna kipindi nilipanga chumba maeneo flan nikiwa ni senior bachelor mmbobevu 😂 sasa kwenye nyumba ya mtaa niliopanga kulikuwa...
19 Reactions
31 Replies
1K Views
Hongereni wana singida. Watoto kiuno nyigu, weupe wa kuonja, wezere kiasi, ngozi nyororo Ila miguu ndio hamna, kama fimbo za mwalimu mkuu🤣🤣 Ila kweli mnadatisha nyie watoto, huwa mko sexyy...
12 Reactions
212 Replies
8K Views
Braza mshana hii kitu ni nini. WanaJF kweli Mungu yupo na uchawi upo yani hapo tumefungwa familia nzima kuanzia mama na wanae wanne ilikua DO or DIE Kwa mujibu wa waganga wanne ni kwamba...
7 Reactions
171 Replies
7K Views
Kuna kiongozi mmoja naye pia ni member humu Jamiiforums. Watu walimwona kama kiongozi makini tangu awamu iliyopita na sasa pia. Mimi nakwenda naye kinyume, hafai. Kiongozi yeyote anayesubiri aone...
1 Reactions
6 Replies
116 Views
Nenda mtaani ulizia nataka madawa aina fulani utaelekezwa nyooka barabara, kata kushoto, utamkuta au umuulizie fulani utapewa chako. Ni tofauti na majambazi, wauaji, wabakaji, matapeli, n.k...
5 Reactions
29 Replies
936 Views
Chakula ni kichafu shule ya Olimpio watoto wanalalamika kuumwa matumbo, taarifa ni kwamba chakula kina wadudu.
2 Reactions
11 Replies
591 Views
Kuna mambo yameanza kuleta taharuki! ========= Hali ya wasiwasi imetanda katika baadhi ya maeneo ya wilaya ya Arumeru mkoa Arusha baada ya vifo vya vijana zaidi ya watano kutokea katika mazingira...
8 Reactions
66 Replies
2K Views
Ninajitahidi kuelewa ila nimeshindwa kabisa kuelewa kwanini wapika keki wasajiliwe na BASATA. Kama sherehe ni matukio ya sanaa inabidi hata BURIAL CEREMONIES nako wahusike pia. Wasajili wapishi...
6 Reactions
36 Replies
555 Views
Katika miaka ya karibuni, mfumo wa kununua simu kwa mkopo maarufu kama “Lipa Mdogo Mdogo” umeenea sana Afrika Mashariki. Kampuni kama Watu Credit zimejijengea jina kwa kuahidi wananchi kupata simu...
7 Reactions
46 Replies
2K Views
Katika demo account, nimefanya trades 53 na kati ya hizo 40 zimeleta profit kwa kutumia hii pullback and breakout strategy. Sasa natafuta vitabu na articles mbalimbali ili nifanye specialization...
2 Reactions
4 Replies
195 Views
Mdogo wangu amechanganya tarehe na muda akamiss flight yake. Tiketi yake inaonyesha kwamba kuna penalty ya $200 ya no show. 

 MASWALI: Je anaweza kuchange flight na kulipia hiyo $200 au how...
5 Reactions
155 Replies
5K Views
Mimi naona dalili zote kuwa mwenyekiti wetu hana control ya chama, ni kama kuna watu wanamwendesha. Tafadhali mama, kaa pembeni chama kinakufia usikubali, itakuwa fedheha sana kwako na sisi...
6 Reactions
17 Replies
588 Views
Walikuja wasomi kina Dkt Kaburu walifanya nini cha maana? Wabunge wasomi wangekuwa wa maana kungekuwa na ufisadi kila leo? Kujua kuongea kiingereza ndiyo kipimo cha elimu kwa waTanzania walio...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Back
Top Bottom