Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

Ni wazi kuwa ziara za Rais kwenye nchi jirani au kokote kule ni kuboresha mahusiano kati ya nchi hizo na Tanzania ili watanzania tufaidike. Sasa ili wananchi wafaidike wanatakiwa kwenda huko...
34 Reactions
2 Replies
6K Views
Researchers want to expand scientific terms in African languages including Luganda, which is spoken in East Africa. Pictured: student-teachers in Kampala.Credit: Eye Ubiquitous/Alamy There’s no...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Sun Tzu aliwahi kusema, "Kuongoza jeshi kubwa hakuna tofauti na kuongoza jeshi dogo, unachotakiwa ni kuligawa jeshi lako." Kwa kawaida kitu ambacho kipo centralized sana huwa ni kazi sana...
17 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama vile uwepo wa hospitali unaonyesha uwepo wa magonjwa, uwepo wa polisi ni ishara ya ukosefu wa amani na utulivu, Wingi wa polisi katika nchi ni ishara ya amani ndogo zaidi, level za ukosefu...
5 Reactions
0 Replies
2K Views
Hakuna amani pasipo upendo. Upendo ni mama wa amani kama watu wanataka amani, wajifunze kupenda. Upendo haudhuru unalinda. Ukosefu wa upendo husababisha vurugu na fujo duniani. Upendo huheshimu...
16 Reactions
0 Replies
2K Views
KIONGOZI (nimeonelea ndiyo iwe title) Sasa kitabu hiki kinapatikana ndani ya maktaba app (by pictuss). Inapatikana playstore. Kimeandikwa na: Niccolo Machiaveli, 1513. Kimetafsiriwa na...
11 Reactions
34 Replies
36K Views
Nimerudi tena na hii hoja dhidi ya matumizi ya kiingereza kama Lugha ya kujifunzia. Umewahi soma riwaya za kiingereza na kiswahili? Kama umewahi, utagundua kuwa utatumia muda mrefu sana kusoma...
16 Reactions
4 Replies
6K Views
Habari wa ndugu. Ni swala ambalo liko wazi kuwa nchi ya Rwanda imeendelea kwa vipimo vingi ukilinganisha na mkoa wa Kagera. Hizi sehemu mbili zimepakana na hali ya hewa na mambo mengine wanafanana...
19 Reactions
5 Replies
6K Views
Kiasili hakuna kitu kinachoitwa umaskini. Haukuwepo dunia ilipoumbwa. Umaskini ni zao la akili za binadamu. Ni zao la gunduzi za binadamu. Kwenye asili hakuna umaskini. Ni sawa sawa na kusema...
15 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wandugu. Naomba kuuliza ni vitu gani au sifa gani zinatakiwa kuwepo ili watu muweze kushirikiana vizuri? Inaweza kuwa ushirikiano ndani ya kikundi, mtu mmoja na mwingine , kikundi na...
7 Reactions
0 Replies
2K Views
Ninaomba tujadili hii mada, maana halisi ya utajiri ni nini? Pesa na mali vinaweza kukupa furaha duniani? Kuna raha gani ya kuwa tajiri ilhali umezungukwa na masikini katika nchi, mji mtaa hata...
19 Reactions
6 Replies
10K Views
Watanzania wanaoishi katika nyumba za hali hii ni wengi sana. Nyumba za hali hii huchangia afya mbovu. Tunapohamasisha BIMA za afya tufahamu pia tatizo linaanzia hapa.
6 Reactions
3 Replies
3K Views
Sisi tuliosoma enzi za awamu ya kwanza, enzi za Chama kushika hatamu, tunakumbuka elimu ya sanaa na ufundi. Hili lilikua somo kamili, kulikua na walimu waliohitimu mafunzo hayo. Shule zilikua na...
17 Reactions
4 Replies
3K Views
Mwanzoni mwa mwaka huu katika kusherehekea kutimiza kwangu miaka 20 tangu nizaliwe, nilipata zawadi ya mkoba kutoka katika viwanda vya hapa kwetu. Mkoba ni nadhifu sana, bidhaa za ngozi huwa...
16 Reactions
2 Replies
4K Views
Kumekua na ongezeko kubwa la vyuo vya elimu ya juu, tofauti na idadi tuliyokuwa nayo mpaka miaka ya 90. Licha ya elimu nje ya bara la Afrika, kuna waliobahatika kupata elimu ya juu katika nchi...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Swali jingine muhimu ambalo linaweza kuwa mwongozo ni kujua kwanini tunaelimisha watu wetu, Kama lile swali la mwanzo nililouliza kwanini sisi ni taifa? Ni swali la kimsingi katika kutengeneza...
11 Reactions
2 Replies
4K Views
This is the soul searching question Why we are a nation? And we come together for what purpose? And do we fulfil that purpose? Or we become a nation accidentally and we need to search for our...
4 Reactions
4 Replies
3K Views
Work hard to achieve it in a natural, automatic and instinctive way. Start by cultivating these eight habits by Jeff Haden, a ghostwriter, speaker and an influencer 1. They turn to praise. It's...
14 Reactions
0 Replies
3K Views
Tofauti kati ya mtawala na kiongozi iko katika malengo yao ya kutafuta, kuchukua na kuyatumia madaraka. Hiki ndio kiini cha uongozi na utawala. Kila kitu tunachokiona katika dunia kiwe kizuri...
9 Reactions
2 Replies
9K Views
Back
Top Bottom