Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

MOROGORO IMEKOSA NINI? Swali la dhati kabisa kujiuliza? Magwiji wengi kwenye fani za siasa,michezo na muziki MORO JAZZ BAND MBARAKA MWISHEHE aliiweka kwenye ramani Morogoro Achana na BIFU la...
1 Reactions
0 Replies
727 Views
WATOTO WANAFANYIWA UNYAMA. Inasikitisha kuona watoto wanafanyiwa ukatili mkubwa wa Utekaji,ubakaji,ulawiti na matendo mengi maovu. Ni nani atawalinda? Ni nani atawatunza? Ni nani atawapa malazi...
0 Reactions
0 Replies
250 Views
"UGLY FACES" WALIVYO WAPIGA MASHUTI "WAPAMBE NUKSI" _________________ "Wapambe nuksi wapingwe mashuti...!! Eeeh Wapambe nuksi wapingwe mashuti..!!! Wapambe nuksi wapingwe mashuti...." 🎶🎶🎶🎶🎶🎶...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
RIWAYA; . CASABLANCA PAPERS.... NA; BAHATI MWAMBA... Sehemu ya kwanza... Alikuwa ni mmoja wa watu maarufu sana ndani ya jiji la Dodoma, umaarufu wake haukumkuta kwa bahati mbaya...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Tamasha la Rapa wa Marekani, Travis Scott lililofanyika usiku wa jana mjini São Paulo, Brazil limesababisha mitetemeko iliyofanana na tetemeko la ardhi hadi umbali wa vitongoji sita kutoka eneo la...
0 Reactions
4 Replies
689 Views
Rapa Lil Wayne amesema kitendo cha kutochaguliwa kuwa Msanii atakayeongoza Watumbuizaji katika tamasha la Super Bowl Halftime kimemuumiza na hakujiandaa kiakili kukabiliana na hali hiyo Wayne...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
SIMULIZI ZA MANUFAA: “KULIMA NALIMA, LAKINI NI KAMA SILIMI - 1” MTUNZI: PAUL MPAZI “MABANDA” SIMU: +255 621 087533 Email: paulmpazi22@gmail.com Busara za Mwandishi: "Katika maisha, juhudi na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
https://www.facebook.com/reel/1203968907588101
2 Reactions
0 Replies
271 Views
Kamati ya Tanzania Music Award (TMA) leo August 29,2024 imeanza kutangaza Nominees wanaowania tuzo za muziki Nchini kwa kuanza na category tatu ambazo ni Mwanamuziki bora wa kiume wa mwaka, wimbo...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Dansoooo Aiiii weweewee Baby nipost kwani mi si mali yakooo...unamuogopa nani?! Baby nichumuu kwani mimi si mali yako unamuhofia nani??. Ni sehemu ya maneno ya huu wimbo wa Mario...
2 Reactions
5 Replies
600 Views
UTANGULIZI Hadithi hii ilipigwa chapa kwa lugha ya Kiingereza katika mwaka 1885. Katika mwaka 1905 Bwana H. Rider Haggard aliandika maneno haya: 'Sasa katika mwaka 1905 naweza kuzidisha maneno...
24 Reactions
349 Replies
91K Views
Nilipenda sana sauti yake nzito katika movie mbalimbali kama vile King Mufasa (The Lion King), King Jaffe Joffer wa Zamunda (Coming to America) na Director wa CIA (Clear and Present Danger)...
2 Reactions
4 Replies
761 Views
Remmy Ongala Wimbo Wema👇👇 https://youtu.be/Cb1zTXHT324?si=HY9qWMpUL0M7wpMm Nimekaa nasikiliza nyimbo ya Remmy Ongala huku nikitafakari mienendo ya Siasa za Africa. Tuna safari ndefu sana naamini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu ndio nimeitazama series ya Game of thrones kabla ya hapo niliishia tu kuwa msomaji wa baadhi ya nyuzi zinazohusiana na uchambuzi wa movie ama kweli ni movie...
2 Reactions
14 Replies
881 Views
NIMESHINDWA KUISHI KWA MAKOSA YANGU MWENYEWE. Lovi Pius Kijogoo 0757 238 304 ( WHATSAAP ) SEHEMU YA KWANZA. NYAKATO KWA SAA NANE SOKONI. "Karibu dagaa safi kabisa. Nguo unapata kwa shilingi elfu...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakati Waandaji wa Tamasha la Super Bowl Halftime wakimtangaza Kendrick Lamar kama mtumbuizaji mkuu, mjadala umeibuka Mitandaoni, baadhi ya mashabiki wakimtaka Rapa Lil Wayne Katika mijadala...
3 Reactions
9 Replies
661 Views
Zangu hizi hapa za leo nasongesha nazo weekend
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari za Majukumu na uzima Wakuu...... Hivi ni kweli ETV wamekuwa excluded kwenye list channels za AZAM TV ........? Maana siku hizi ni miezi miwili vhivi iliyopita nkilipia vifurushi vya...
0 Reactions
5 Replies
774 Views
FAMILIA YA ZORRO MIONGONI MWA FAMILIA ZILIZOTUNYIMA KOLABO KALI. Sikumbuki ni nani alikuja na wazo la kutengeneza albamu iliyoitwa BABA NA MWANA! Ilikuwa ya moto sana na ilikuwa na ladha TOFAUTI...
20 Reactions
26 Replies
4K Views
Mfanyabiashara maarufu, Fred Vunjabei amemtolea uvivu Mwijaku na kumtaka aache kumhusisha na ishu za utajiri, baada ya Mwijaku kudai kuwa Fred ana utajiri mkubwa kuliko Diamond Platnumz, wakati...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…