Hii haikustahili kuwa hapa lakini kabla matokeo ya Big Brother Africa ambapo Mtanzania mwenzetu Richard amefanikiwa kuingia Fainali nadhani tujaribu kutoa mawazo kabla matokeo rasmi hayajatolewa...
A man accused of televised sexual assault has won Big Brother Africa, says
mark paterson in Johannesburg
The young man who caused a media frenzy after
viewers claimed he had sexually...
Report: Kanye's Mom Died of Plastic Surgery Complications
Nov. 12, 2007, 11:19 AM EST
The Associated Press
LOS ANGELES -- Donda West, mother of Kanye West and former chairwoman of Chicago...
Ndugu wana JF, ni weekend iliyozingirwa na masikitiko hapa na pale. Hata hivyo matumaini yapo na nawatakia weekend njema wote.
Tafadhali bonyeza picha kuangalia video.
SteveD.
Kwa maoni yangu walilofanya wachezaji wa Yanga ni kosa kubwa, sasa tusikie wanachama na wapenzi wa Yanga watakuwa upande gani katika sakata hili. Kuna uwezekano wa kuzuka Kandambili na Raizoni...
Hi
Sorry to be a pain. There is a song in Swahili that Im after, I heard the original long time ago and recently I heard a new mix of the song. But I have no idea who sings it. The lyrics...
waungwana wenzangu kuna habari ambazo nimezipata hivi punde; kumbe taifa stars imetumika!
kuna habari za kuaminika kuwa timu ya Taifa ya Tanzania imetumika vilivyo kupenyeza matumizi ambayo sijui...