Wikiend hii nakuja bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wikiend hii nakuja bongo

Discussion in 'Entertainment' started by Kibongoto, Sep 25, 2009.

 1. K

  Kibongoto JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2009
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wadau baada ya kukaa mkoani for ten years nimeona week end hii nije bongo nibadilishe mazingira kidogo na kuona mapya ya hapo mjini kwetu. Hivi wapi naweza kwenda kula vitu vyangu(kilaji na mchemsho wa samaki/kuku/mbuzi). Ntaingia mujini leo(Ijumaa) jioni, jumapili mchana narudi job mkoani. Nawatakieni week end njema nanyi.
   
 2. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ningekukaribisha ila kuna funzo nimelipata humu humu JF. Kuna jamaa alienda huko Mafinga akakaribishwa na kaka wa rafiki yake at the end of the day kammega dada yao pale pale home alipofikia. Wabongo wengine wamepagawa kwelikweli!
   
 3. Mndundu

  Mndundu JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  we kama mgeni ukishashuka ubungo ulizia sisimizi bar, ukifika kamua weee ukichoka kalale kesho yake urudi kazini
   
 4. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,519
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Je wewe ni mpenzi wa sehemu zenye kelele au zisizo na kelele?
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,027
  Trophy Points: 280
  Vipi na shwaini unatumia? Manake kuna viota vinatengeneza shwaini kama vimepagawa.
   
 6. K

  Kibongoto JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2009
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Natumia mkuu,plz nielekeze pakwenda!
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  huyu mgeni njoo wenyeji wapone sijaona hata mmoja anayesema atamkaribisha kwake mnaogopa :)
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,027
  Trophy Points: 280
  Nenda Tegeta Family Bar. Wanamchoma mdudu kama wamepagawa. Kuna ya kuchoma na ya kurosti. Chaguo ni lako.
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,027
  Trophy Points: 280
  Tatizo hatujajua kama mdau ni Firstlady1 au mpwawe Fidel80 (Masanilo)
   
 10. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hapa JF tunajifunza mengi sana. Si uliona ile story ya jamaa aliemega dada wa host wake kule mafinga? Namna hii waweza mkaribisha mtu kwako akammega mkeo bure!!! Wengine tuna wake na hatuna dada wala housegals itakuaje hapo?
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  nenda kapigwe na vumbi
   
 12. F

  FOE Member

  #12
  Sep 25, 2009
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Loh, umeshaenda mbali mno kaka. Kwani jamaa kasema kama anataka huduma ya aina gani huku Dar? Unajuaje kama atakuja na wife au peke yake? Inaonekana wewe bana bila mambo ya madem starehe haijakamilika kwako.
   
 13. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Samahani wakuu kuuliza sio ujinga wengine tumepitwa na lugha mpya za mjini Shwaini ndio kinywaji gani? na kwa nini kiitwe shwaini?
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,027
  Trophy Points: 280
  Shwaini = swine = kitimoto = mbuzi katoliki
   
 15. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ahsante mkuu sasa nimeelewa
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,027
  Trophy Points: 280
  Mkuu sema kama na wewe ni mwanachama tukuelekeze viota.
   
 17. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #17
  Sep 25, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ha ha haa mimi ni wa mbogamboga kaka na nipo mbali ila napenda tu kujua sehemu kama hizi ambapo nikija bongo naweza kupata ulabu kwa utulivu.
   
 18. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #18
  Sep 25, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160

  Ha ha ha..wewe lazima utakuwa slow learner
   
 19. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #19
  Sep 25, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wewe bana kama unataka kurelax, chukua kabisa likizo ya wiki kadhaa, ingia Dar ikiwezekana hadi Zenj. Lakini kama nia ni kufakamia milaga nadhani unaweza kufanya hivyo hata hukohuko ulipo.
   
 20. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #20
  Sep 25, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mm kweli wanaume kama panya kila wakiona shimo wanataka kujihifadhi, yule jamaa wa MAFINGA si peke yake, Miaka ya tisini na sita na saba nilikuwa naishi na kaka zangu pale mitaa ya U/taifa TMK. House ilikuwa imepangishwa na Tanesco my Bro wangu Mkubwa alikuwa akifanya kazi huko. Sasa basi kaka zangu walikuwa wawili, mkubwa ambaye alikuwa anafanya kazi na mwingine ambaye alipenda sana kujiita STING! kwa wale washabiki wa mieleka watamkumbuka huyo jamaa alikuwa akiwaadabisha sana NWO enzi hizo za Monday nitro ikioneshwa na CTN.Ile house ilikuwa iko shared na wafanya kazi wawili wa TANESCO kila mtu Vyumba viwili, jiko na sebule tukichangia. Huyu mfanyakazi mwingine wa Tanesco alikuwa ana ndugu zake wa tatu, house nzima ilijaa midume mitupu. Huyu Bro STING alikuwa ana ng'ata kweli kweli mademu hawakatizi mbele yake ingawa tulikuwa bado school lkn jamaa alikuwa mtaaluma sana wa kunasa ma sholi. SASA huyu jirani yetu wa ndani ya nyumba alimleta mtoto wa dada yake wa kike pale ndani kwa minajili ya kumsomesha. wale ndugu zake wengine waliposikia mdogo wao anakuja kukaa pale kabla hajaja walimfuata kwao wakamtahadhalisha kwamba kuna mtu pale anaitwa STING, yaani aachane nae kabisaaa acheze mbali naye, wakapaka jamaa hapitwi na mademu. Huwezi amini yule dada sasa kwa maelezo yake baada ya kuja kuwa shemeji yangu kisirisiri alikuwa anatusimulia anasema walivyokuwa wanammegea huo wosia yaani yeye akapatwa na hamu ya ghafla ya kumuona huyo mtu. demu bwana alipofika pale baada ya kukaa km 2 weeks hivi demu uzalendo ukamshinda akaniita one day aakaanza kunuilizia kijanja janja kuhusu STING, wazee wala sikuchelewa nikamstua STING kwamba demu anajichanganya kimtindo, INGAWA mbele ya house yetu STING alikuwa na DEMU WAKE wa muda mrefu tu hapo, na huyu demu wa humu ndani (DAH demu alikuwa mashalaa jamani acheni tu ila alikuwa anajiheshimu sana huko nje aliwakataa watu kibao) alikuwa anamuona yule demu mwingine akija jamaa anaenda kukamua. STING alipopata mchongo dah ikawa mtelemko kwake haikupita siku mbili STING akala mzigo, IMAGINE wale jamaa ni kama ndugu zetu kabsaa maana tushaishi nao under one roof km 3yrs then lkn STING bana aliitafuna ile ngozi, basi akawa sasa anendelea mara huku mara kule. HUYU demu wa inside zile sifa alizopewa na kaka zake kweli zilimchanganya wakuu maana usiku alikuwa anakuja room kwetu coz wale ndugu zake wawili ukitoa yule mkubwa walikuwa wanalala kwenye vyumba vya UANI so usiku anakuja kwa bro analala huko yaani mpaka ikazoeleka hivyoo, demu alikuwa ana sexual drive mbaya na mchizi, inaelekea jamaa alimpatia kweli kweli maana jamaa alikuwa anamkamua hata mara nne au tano per day, so jamani hawa WAGENI ombea usiwe na dada yako au ndugu yako wa kike anaweza akakaa hata masaa mawili tuuu akakamua HAYA MAMBO HAYATABIRIKI WADAU, YEYOTE YANAWEZA KUMFIKA
   
Loading...