Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

ASTON MARTIN MUSIC by Rick Ross Ft Chrisette Michele and Drake nimeusikiliza kama mara tano hivi asubuhi hii.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna kibao cha muziki cha Mrisho Mpoto kinaitwa Adela, kila nikisikiapo huwa sikielewi. hivi ana maana gani huyu jamaa maana mi nashindwa kumuelewa. Kwa mfano anasema nyoshakidole Adela..Nisaidieni!!!
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Umati ni mkubwa uliohudhuria shughuli za kumpa heshima za mwisho mwanamuziki maarufu hapa nchini Hayati Ramadhani Mtoro maarufu kama Dakta Remmy. Ni majonzi, vilio na simanzi vilitawala...
0 Reactions
34 Replies
15K Views
Nimekaa kwenye Luninga kwa takribani saa nzima nikiangalia kipindi cha nyimbo bora 2010 kinachorushwa na Star TV, cha ajabu nyimbo zote ninazoziona zinazungumzia mapenzi tu mwanzo mwisho, ina...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Marehemu Abou Semhando 'Baba Diana' enzi za uhai wake. Hapo ilikuwa katika show ya Old Skul viwanja vya Karimjee ambapo wakongwe wa muziki walikusanyika kutumbuiza...
0 Reactions
39 Replies
10K Views
Wakati nikisikiliza taarifa ya habari ITV Chidumule akiwa msibani kwa Dr. Remi Ongala alipewa nafasi ya kuongea chochote. Alisema kuwa marehemu alikuwa mwanamuziki mahili lakini alikuwa hatembei...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Nadhani Miaka hii bado nilikuwa natumia visoda kufanya hesabu za kujumlisha na kutoa Malaikaaaaaaa Nakupendeeeeeeee Malaikaaa I shall sing sing my song lallalaaaaaa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Christmas is both a sacred religious holiday and a worldwide cultural and commercial phenomenon. For two millennia, people around the world have been observing it with traditions and practices...
0 Reactions
0 Replies
987 Views
Nilipokea kwa masikitiko sana kifo cha kipenz cha wengi Dr Remmy Ongala. Kuna ki2 bado sijakijua vzr kuhusu wasifu wake hv! alikuwa na u Dr wa nn? au lilikuwa jana 2? Mwenye kujua vzr wasifu wake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau mwenzenu nimeachwa nyuma sijui kwa sababu huwa siangalii Ze Komedi ya akina Masanja. Hebu mnifahamishe tafadhali; Kiduku ni kitu gani?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wapenzi wa wa tasnia ya vichekesho, kuna komedi ya TBC na ile ambayo imeanza pale EATV, kwa mtazamo wangu akina Joti wa TBC wameshaanz kupwaya ukilinganisha na hawa jamaa ambao wamekuja kwa...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Shindano la kumsaka superstar wa bongo wa muziki linafikia tamati leo huku kukiwa na uwezekano wa mzungu joseph pyne ambaye zaidi amekua akitamba na wimbo wa "malumbano/ msongamano" kuibuka...
0 Reactions
97 Replies
13K Views
Mwenye MP3 ya huo wimbo pls anaweza nipm pls
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa habari nilizozipata sasa hivi mwanamziki mahili wa mziki wa Tanzania Dr. Remmy Ongara amefariki dunia, tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo. RIP Remmy tutakukumbuka milele kupitia nyimbo...
0 Reactions
219 Replies
36K Views
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wasanii wetu( Music, Video) bado wanakazania kuuza CD. Muelekeo unaonyesha mauzi ya ya CD yanazidi kupungua sababuya furana teknolojia mbali mbali zinazoibuka kama Internet na Online...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WASHIRIKI wa BSS juzi wafunika katika shindano hilo sambamba na mastaa wa muziki wa kizazi kipya baada ya kuimba pamoja. Katika shoo hiyo washiriki nane waliokuwa wakichuana vikali ili kupata...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwakilishi wa Tanzania na Mshindi wa pili wa Tusker Project Fame,Peter Msechu ametua Bongo na yupo Live Clouds FM.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni miongoni mwa wasikilizaji na wafuatiliaji wa Mlimani pamoja na vikundi vingine vya muziki nchini,kwa bahati mbaya bado sijakisikia kibao cha Mlimani(TENDE HALUA HALUA) kilichopigwa 'full...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…