Mwenyezi Mungu awabariki wote walioshiriki kutunga nyimbo hizi za TENZI ZA ROHONI.
Hizi ni baadhi tu ya nyimbo hizo zinazogusa moyo (Heart touching songs)
1.Mungu ni Pendo
2.Usinipite Mwokozi...
Unaweza vipi kutoa kibali kwa msanii wa muziki wa " hip hop " kutoka Marekani kufanya show nchini Saudi Arabia?
Seriously!!!
A guy who talks about shooting other people and utter a lot of...
Simulizi : SALAMU KUTOKA KUZIMU
Mwandishi : BEN R. MTOBWA
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
KIFO kaja duniani kwa kazi moja tu. Akikukuta umekwisha... Akikusalimia umekwisha... Hana...
Wanadai Bongo fleva inapeleka mambo machafu Zanzibar.
Moja ya wageni walioudhuria Jukwaa la 13 la Biashara Zanzibar ameshauri Serikali ya Zanzibar kuzuia kupigwa kwa baadhi ya Nyimbo za bongo...
Toka enzi za kale muziki ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo kwa wingi wa nyimbo zilizokuwepo duniani ilibidi kusiwe na melody tena but fun facts nyimbo zinaendelea kutoka zenye melody kali aina...
Hadithi hii nikiikumbuka natokwa na machozi, hadithi ya kweli ilitokea huko mkoani Tanga.
Wakati nikiwa mdogo mwanzoni mwa miaka ya tisini, nilikuwa nikiishi kwa wazazi wangu waliokuwa...
Naona baada ya mafanikio makubwa ya Season 1, wanarudi tena.
Dec 26 ndio episode 1 itaanza na kutakua na jumla ya episode 10.
BTW ni miaka mitatu tokea Season 1 itoke. Tunazeeka aisee.
Jamboo!
Wakuu kama kichwa cha mada kinavyo jieleza hapo juu naomba hiyo ikitokea mniambie nitakuwa hapa panapo majaliwa. Binafsi ni mpenzi wa kutizama na kufuatilia filamu na tamthilia mbali...
JINI WA DARAJA LA SALENDA.......EP.1
Majira ya saa nane za usiku msichana Suzana alikuwa akitoka kujirusha katika ukumbi wa Bilicanas. Kilichomshtua kilikuwa kutoweka kwa mpenzi wake Sammy ambaye...
Wakuu Tamasha maarufu la kitamaduni nchini Uganda, ‘Nyege Nyege’ sasa litafanyika baada ya awali Bunge la nchi hiyo kutaka kusitishwa kwa madai ya kuruhusu vitendo vya uasherati.
Kwa mwaka huu...
MTUNZI : SELOPHEADY H. MAGEMBE
HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA
Huruhusiwi kunakili au kutumia sehemu ya hadithi hii bila ruhusa ya mwandishi.
Nilikua nimehitimu masomo ya shule ya upili na kuchaguliwa...
Riwaya hii ni ya kubuni, hivyo mfanano wa matukio wa ndani ya Riwaya na maisha halisi unayoyaishi ni shabaha tu ya fikra za Mtunzi. Karibuni nyote kwa wingi
MABADUNI WA SERIKALI
Utangulizi...
Kamati ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), wametangaza kuwa sherehe ya utoaji wa tuzo hizo itafanyika rasmi tarehe 19 Oktoba 2024, kuanzia saa...
Hivi ndo vipengele vya Tanzania music awards 2024 (TMZ)
1, wimbo bora wa taarab wa mwaka . Malkia Leyla Rashid(watu na viatu), Mwasiti Mbwana(sina wema), Salha (dsm sweetheart), Mwinyimkuu(bila...
Wakuu,
Ila BASATA mmekuwa zaidi ya mizigo! Kwa hawa watu wote wanaotekwa na kuwataja polisi 🤣 🤣 au wenzetu hamjui Kiswahili. Mapana naona ndio utakuwa kiongozi kituko kuwahi kutokea tokea...
Hizo sauti za xxxtencion, juice world in Ai generated na ngoma kali
https://www.youtube.com/watch?v=W41Zg2sxsOc
Hata hiii ya xxtencion ni Ai generated
https://www.youtube.com/watch?v=mvQBbPReWbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.