Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

WATU PORI - NAFSI YA MTU. Watu pori a.k.a washamba a.k.a washamba a.k.a washamba /nyani wapya msitu wa zamani beat mjerumani mambo yote kwa Bonnie/ Sikiliza haya ninayo kueleza leo na kesho...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
PROFESOR JAY FT LB GENIUS & IMAM ABAS " NA BADO" Natumia nafasi hi kudhibitisha kipaji changu/ nikiwa ni mkakati wa kuinua jina langu/ na huu sio mkwala tu ni msisitizo wenye nia/ kama kipaji...
2 Reactions
9 Replies
864 Views
Sikuwahi kuwambia watoto wangu kuwa nilikua nafanya kazi gani. Kamwe sikutaka wajihisi aibu kwasababu yangu, pindi binti yangu aliponiuliza nilikua naenda kufanya nini ninapotoka, nilitumia muda...
1 Reactions
1 Replies
753 Views
Wakuu ushauskiliza huu wimbo wa marioo uitwao 2025. Ukiuskiliza huo wimbo ni ameongea mapnzi tu. Akisisitiza kuwa atadumu na mpnz wake Hadi 2030+ Sasa huu wimbo ukiuskiliza kwa upande wa...
0 Reactions
4 Replies
690 Views
ALBUM YA PROFESOR JAY "MACHOZI ,JASHO NA DAMU https://www.facebook.com/100064569174258/posts/pfbid0Eksw2k3qTSg3kzXd5H6BtXzEYYNiNtGTXA6K24WvMf2U6zETpBsMxgtCTF6L1u2yl/?app=fbl "Machozi Jasho na...
1 Reactions
2 Replies
605 Views
Wanabodi, leo nikiwa natoka mahali kwa kutumia public transport, ukapigwa wimbo wa King Kikii, kitambaa cheupe, hivyo from no where, nimetokea kumkumbuka mwanamuziki mkongwe huyu, jina kamili ni...
4 Reactions
34 Replies
6K Views
Baadhi ya watangazaji wanatumi majina bandia(AKA) kwa sababu mbalimbali kama vile ubaya wa majina Original, jina kufanana na la kwenye bibilia mfano Yohana, Yeremia, Petero nk. Kwa hakika sababu...
5 Reactions
123 Replies
5K Views
Mkasa : NDOA ILIVYOTETERESHA IMANI YANGU Mwandishi: IRENE MBOWE (Irene Mbowe Kungwi Lao) Imeletwa kwenu na: BURE SERIES Hiki ni kisa cha ukweli kabisa, anachokielezea Flora, Mwanamke ambaye...
2 Reactions
93 Replies
17K Views
Huyu mzee wakati huo sijui alikuwa anawaza nini wakati anatunga huu wimbo . Kweli muziki ni fasihi ya wakati. Ukiangalia kwa nyakati za sasa ni kama vile kuna mtu(kiongozi) anaona matatizo ya Watz...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Mwamba aliweza kuja na biti kali ambazo zilikuwa na chembe chembe za sound za mwambao akichanganya sound za dance hall. Aliweza kutukosha zaidi na ngoma ya "na wewe tu" na "najua"...
2 Reactions
5 Replies
530 Views
wakuu natafuta nyimbo ya mr blue ile tabasam yenye version ya Q chief. Kila nnayoona kipande cha Q chief kimeondolewa. Mwenye nayo tafadhali. Mim kijana wa zamani nikumbukie enzi yetu
2 Reactions
8 Replies
2K Views
WAKILISHA - SWANGILISH Najiuliza hili swali sipati jibu kamili / Tunacho ongea wabongo kimombo Au kiswahili/ mkoloni katufilisi kiuchumi na kiakili/ anataka tufikiri tuna nuksi tusishamili/ ma...
0 Reactions
3 Replies
559 Views
SOMA ILI UJIFUNZE KITU, AMINI HUWEZI KUTOKA BURE Siku moja Dokta aliingia haraka sana hospitalini mara baada ya kupigiwa simu iliyomtaka akafanye upasuaji. Baada ya kufika hospitalini...
4 Reactions
0 Replies
1K Views
STORI FUPI: JINSI YA KUTAFUTA FURAHA YAKO. Alitokea mwanamke mmoja aliyevalia nguo za gharama sana, kwa kumtazama tu ilitosha kutambua kuwa ni dada wa kitajiri. Basi alienda kwa mwanasaikolojia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
MR. PREZZY - G ( STUDIO BONGO RECORDS) Sema chochote unachokitaka hata kama unaweza paka mi ndio nasema naonyesha kipaji/ kama dibaji ongea unachokitaka na piga na domo so mi ndio in chaji/...
0 Reactions
2 Replies
284 Views
PROFESOR JAY - HAKUNA NOMA Nimesimama kwenye haki/ kurumbana sitaki/ bado nipo na fani kama Saturn na Zebaki/ sitaki kujiuliza.. yupi..? ndugu yupi ..? adui/ sijui..!! Pata nasaha za ma bedui...
1 Reactions
1 Replies
820 Views
Waandaaji wa tuzo za Grammy wametoa majina ya Nominees ambao watawania tuzo za grammy 2024 na kwenye kipengere cha Best african music perfrmance ambacho yeye alipeleka kazi zake lakino kwenye list...
5 Reactions
101 Replies
5K Views
Naamini mtakufa nyinyi Kupona nitapona mimi Kama biashara ya madini Mgodi na umiliki mimi Siwezi kuanzisha zaga wakati mwisho wake siuoni Ni kama kumtusi Baba tena kwa matusi ya nguoni...
1 Reactions
1 Replies
667 Views
KIKOSI CHA MIZINGA - TUNASONGA NImefungua macho kujikuta vitani/ kimenuka nadhani watu wameshafuta majani/ Epuka kujihami mabomu yana anguka jirani/ wanajuta kukuta haki haipatikani kwa Amani/...
1 Reactions
1 Replies
523 Views
PROFESOR JAY - NA BADO Na mwaga Damu juu ya fedha/ na dini mitaa ya kati/ kuwa makini Tumuamini nani..?/ mie mc fanani mchaza vichwa Amani/ Au kiongozi Saratani / acha hanasa na mpaka Siasa...
0 Reactions
0 Replies
434 Views
Back
Top Bottom