Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

wakuu nashangazwa na tabia moja ya kutangaza na kusikitika sana ikitokea mwanamuziki ametutoka huyu kasoloo kyanga alikuwa na hali ngumu sana kimaisha na hakuna hata mtu mmoja hasa kwa nyie...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Mambo vipi wakubwa,? Natumaini wote ni wazima wa Afya,ıla kama kuna mwenye kusumbulıwa na Ugonjwa tunamwomba MUNGU ilı apone mapema Ndugu zangu naomba mwenye nyımbo ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
This is my best line from otis (jay-z + kanye west) ni bonge la ngoma kat ya ngoma kal zlzotoka mwaka huu za hiphop
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani watanzania wenye uwezo mimi ni underground rapa mwenye uwezo wa kutunga na kuyafunga mashairi.nahitaji msaada wadau ili 2gonge kazi mawasiliano0717703276
0 Reactions
7 Replies
1K Views
jaman me naona ingefika wakat tungeuimba huu wimbo wa cku ya kuzaliwa(happy birthday) kwa kswahil?so mwenye uwezo mzur wa kuimba na saut ebu apge extended version kwa kswahil na atuwekee hapa...
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Poleni kwa majukumu ya kila siku wana Jf. Mimi ni kijana ninayependa hits(muziki) zilizopigwa na miaka ya 70's hadi 80's na wanamuzuki mahiri kabisa kama akina chaka khan(Ain't no body), carl...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ndio wakuu. naomba mnisaidie kwa wale wzee wenzang wa zamani kuna wimbo ulikua una kipande kinaimbwa : kila munu avena kwao. uliimbwa na nani na je naweza kuupata wapi jamani?
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Nyani Ngabu, Umemwona Miss Angola? She is in the top 5 and I hope and pray she wins the title.
0 Reactions
43 Replies
5K Views
On My Playlist Now 1. Iridescent - Linkin Park (so addictive so Linkin Park) 2. Otis - Jay Z and Kanye West (the end of that swag rap bulls**t) 3. Monte Carlo Dreams - Phil Ade (beat and lyrics...
0 Reactions
87 Replies
7K Views
We specialize in urban style sneakers and professional athletic shoes,clothes,fashion handbags ect. We only sell 100% high quality items. The items you purchase always include the original box...
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Miss Tanzania imetawaliwa na nyimbo (background) za kihindi cjui kiarabu tuu, Wakibadilisha wanaweka west Africa... Wanawaza nn hawa waandaaji... kwa hili wamenikera aisee...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tyler Perry For Better Or Worse “For Better Or Worse” is a new dramedy that will follow the tumultuous relationship of the lovesick couple Marcus and Angela from ‘Why Did I Get Married.’ © Tyler...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
kitendo cha kuendelea kuwa na mashindano ya vodacom miss TZ,ni wazi kuwa Wao si wamoja katika muungano huu,Taifa linakabliwa na simanzi ya ajari ya Meri wakati wengine wanashindana nani Ana SURA...
0 Reactions
104 Replies
10K Views
Ndugu zangu, naomba kutoa angalizo kuhusu haya mashindano ya Miss Tanzania. Ikumbukwe kuwa hayo mashindano yameendeshwa wakati wenzetu Wazanzibari wamekumbwa na msiba uliotamkwa kuwa wa kitaifa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Niko kwenye harusi ya Alex Tibaigana, mtoto wa Afred Tibaigana. Mzee mzima mwenyewe kamanda wa zamani anaongoza kwenye. VWERE FWANTASTIKA
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Vodacom miss Tanzania Salha israel(katikati) akiwa na mshindi wa pili Tracy Sospeter(kulia) na mshindi wa tatu Alexia William mara baada ya kutangazwa usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa mlimani...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
inakuaje wakumajembe wote hapo? wakuu j2 hii naomba kama nyie ni wapenzi wa the game tafuteni album yake mpya ya R.E.D hususan ngoma aliyofanya na chris brown inaitwa pot of gold
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Halikuwa kusudio letu kumchonganisha yeyote na lolote katika thread nyingi zilizoandikwa hapa jana juu ya fikara za hatua gani ingekuwa ya busara zaidi katika kushughulikia maafa haya badala ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
bado hainipi ndo kwanza network inataftwa?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huu ndiyo muda niliokuwa nikiusubiri. Mmoja kaulizwa jins ya kuepuka vita ya wenyewe kwa wenyewe, yeye kajibu hatuna udini wala ukabila kwa hyo vita haiwezi kutokea.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…