CREW YA "GHETO BOYS" KUTOKA MJI KASORO BAHARI..
Wasanii waliounda kundi la ghetto boys...
Ok Ghebo boys ilikuwa timu 1 Afande selle
2. kasa boy
3. juma mjivuni
4. mdogo Dito
5. bwana samu &...
Elton John Farewell Yellow Brick Road
This event event has ended
Info about security, timing and mobility: see Timing under Calendar
PLEASE NOTE THAT THIS CONCERT WILLSTART AT 7.30 P.M.
Waiting...
MOROGORO IMEKOSA NINI?
Swali la dhati kabisa kujiuliza?
Magwiji wengi kwenye fani za siasa,michezo na muziki
MORO JAZZ BAND MBARAKA MWISHEHE aliiweka kwenye ramani Morogoro
Achana na BIFU la...
WATOTO WANAFANYIWA UNYAMA.
Inasikitisha kuona watoto wanafanyiwa ukatili mkubwa wa Utekaji,ubakaji,ulawiti na matendo mengi maovu.
Ni nani atawalinda?
Ni nani atawatunza?
Ni nani atawapa malazi...
RIWAYA; . CASABLANCA PAPERS....
NA; BAHATI MWAMBA...
Sehemu ya kwanza...
Alikuwa ni mmoja wa watu maarufu sana ndani ya jiji la Dodoma, umaarufu wake haukumkuta kwa bahati mbaya...
Tamasha la Rapa wa Marekani, Travis Scott lililofanyika usiku wa jana mjini São Paulo, Brazil limesababisha mitetemeko iliyofanana na tetemeko la ardhi hadi umbali wa vitongoji sita kutoka eneo la...
Rapa Lil Wayne amesema kitendo cha kutochaguliwa kuwa Msanii atakayeongoza Watumbuizaji katika tamasha la Super Bowl Halftime kimemuumiza na hakujiandaa kiakili kukabiliana na hali hiyo
Wayne...
SIMULIZI ZA MANUFAA: “KULIMA NALIMA, LAKINI NI KAMA SILIMI - 1”
MTUNZI: PAUL MPAZI “MABANDA”
SIMU: +255 621 087533
Email: paulmpazi22@gmail.com
Busara za Mwandishi: "Katika maisha, juhudi na...
Kamati ya Tanzania Music Award (TMA) leo August 29,2024 imeanza kutangaza Nominees wanaowania tuzo za muziki Nchini kwa kuanza na category tatu ambazo ni Mwanamuziki bora wa kiume wa mwaka, wimbo...
Dansoooo
Aiiii weweewee
Baby nipost kwani mi si mali yakooo...unamuogopa nani?!
Baby nichumuu kwani mimi si mali yako unamuhofia nani??.
Ni sehemu ya maneno ya huu wimbo wa Mario...
UTANGULIZI
Hadithi hii ilipigwa chapa kwa lugha ya Kiingereza katika mwaka 1885. Katika mwaka 1905 Bwana H. Rider Haggard aliandika maneno haya: 'Sasa katika mwaka 1905 naweza kuzidisha maneno...
Nilipenda sana sauti yake nzito katika movie mbalimbali kama vile King Mufasa (The Lion King), King Jaffe Joffer wa Zamunda (Coming to America) na Director wa CIA (Clear and Present Danger)...
Remmy Ongala Wimbo Wema👇👇
https://youtu.be/Cb1zTXHT324?si=HY9qWMpUL0M7wpMm
Nimekaa nasikiliza nyimbo ya Remmy Ongala huku nikitafakari mienendo ya Siasa za Africa. Tuna safari ndefu sana naamini...
Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu ndio nimeitazama series ya Game of thrones kabla ya hapo niliishia tu kuwa msomaji wa baadhi ya nyuzi zinazohusiana na uchambuzi wa movie ama kweli ni movie...
NIMESHINDWA KUISHI KWA MAKOSA YANGU MWENYEWE.
Lovi Pius Kijogoo
0757 238 304 ( WHATSAAP )
SEHEMU YA KWANZA.
NYAKATO KWA SAA NANE SOKONI.
"Karibu dagaa safi kabisa. Nguo unapata kwa shilingi elfu...
Wakati Waandaji wa Tamasha la Super Bowl Halftime wakimtangaza Kendrick Lamar kama mtumbuizaji mkuu, mjadala umeibuka Mitandaoni, baadhi ya mashabiki wakimtaka Rapa Lil Wayne
Katika mijadala...
Habari za Majukumu na uzima Wakuu......
Hivi ni kweli ETV wamekuwa excluded kwenye list channels za AZAM TV ........?
Maana siku hizi ni miezi miwili vhivi iliyopita nkilipia vifurushi vya...