jamani mi nilikuwa mpenzi mkubwa wa 24 series, hivi kuna series gani nyingine mpya yenye muonekano wa kama 24?? yaani ya kispy spy?? tusaidiane wakubwa
Msanii Ne-Yo kawapaka live wasanii wanaoimba kwa kutumia CD kwenye majukwaa.
"kama msanii, unapaswa kujifunza kuimba au kucheza kwa wakati mmoja. Hiyo ndiyo kazi yako" mfano "kama huwezi kazi...
katika hali ya kusitajabisha,baada ya q chief kuongea na kutoa maneno mengi kua msanii diamond anatembelea nyota yake imezidi kujidhihirisha wazi kua msanii q chief amechoka na anatafta tu pa...
MagicFM wana tangazo lao ambalo husema anayekuna na anayekunwa nani anasikia raha????
if someone can read between the lines ni rahisi sana kuelewa kwamba hili tangazo ni matusi matusi, ingawa sio...
Nchi nyingi Dunia hata hizi nchi zinazoitwa dunia ya tatu nchi inaweza kutoa msanii ambae anajulikana duania yote,mfano kama Yusoe ndur wa Senegal,Seif Keita mali,kofi Olimide nk,
Katika tafiti...
KUNA TV SERIES KIBAO, ILA MIONGONI MWAO ZILIZO BAMBA NI NIKITA (ikaishia hewani) GAME OF THRONES (ikaishia hewani), KUNA PREASON BREAK, 24 HRS.
NAHITAJI KUANZA KUFUATILIA TV SERIES NYINGINE...
Halle Berry Pregnant With Olivier Martinez's Child: A Boy!Celebrity Moms April 5, 2013 AT 1:40PMBy
Justin Ravitz
Halle Berry and Olivier Martinez expecting first child together.Credit: Michael...
MINI NI MPENZI SANA WA TELENOVELA(TAMTHILIA) HASA HIZI ZA SOUTH AMERICA. KWA STARTIMES NAIPENDA CHANNEL YA STVE2 AMBAYO NINAIPATA BAADA YA KULIPA ELFU TISA. STVE1 SIPATI KWA KUWA NATAKIWA KULIPA...
Habari wanajamvi. natafuta wimbo unaoitwa Kibera acha chuki, umeimbwa na kassongo Mpinda kama sikosei. kama kuna mtu anajua tafadhali auweke humu ama aniambie wapi nitaweza kuupata. asanteni sana.
Juma Nature last weekend alitawazwa kuwa mfalme wa Temeke akiwa na kundi lake la Wanaume Halisi. Juma kwa kipindi kirefu amekuwa kipenzi cha wana TMK na wanaburudani kwa ujumla. Chochote...
Vita ya wasanii na mafisadi inazidi kushamiri kila kukicha, mwaka 2011 tuliona jinsi Anti-Virus Movement ilivyokuja kudai haki za wasanii kwa nguvu ya umma. Hata hivyo, mwenye pesa sio mwenzio na...
Kutokana na ajali ya kuanguka ghorofa jana asubuhi dsm,napenda kuishauri msama promotion kuahirisha tamasha la injili uwanja wa taifa katika kipindi hichi cha majonzi kufiwa na watanzania 19
He's fine,with his own style look!..in tz,sijaona jamaa anajitahidi kupangilia mavazi kwenye show zake kama huyu,penye ukweli tuseme ukweli!.u knw wat,people labda they don't knw,music is nat...