emilwayne
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 265
- 19
Ukiona hivi ujue nchi imeanza kuendelea, huoni wenzetu wamarekani wapo mbali sana mpaka wanasema ni haki kwa mwanaume kwa mwanaume kuoana,
Ilikua kwenye show yake huko Bukoba.Sasa laana kwa Diamond kivipi? au yeye ndiye aliyeandaa hii show?. Mimi naona watu mngeanza kusema kuwa laana ya kanga moko na sio sahihi kucreat tention kupitia Diamondi.
I felt nauseous just looking at them.
I have nothing against women who decide to strip for money (it is their choice)
ila sasa hii imekaa vipi sijui. Porn si porn, striptease si striptease,
very degrading and insulting for women. Do they do it sababy ya umaskini?
au they are addicted to something only the producer can provide?
are their relatives kept hostages and in danger of being executed
iwapo wataamua kutocheza? yani sielewi kabisa.
It is unfortunate Diamond kakubali kucheza jukwaa moja na hawa wadada.
Kwani mi nimesema ni makosa? soma tena nilichoandika.Watu wengine nashindwa kuwaelewa, jamani kila binadamu yupo responsible kwa matendo yake mwenyewe. Akiamua ku strip tease ni yeye hajamdhalilisha mtu yeyote, akiamua kuvaa ninja kwenye joto la 40 degree C ni yeye hajamfedhehesha mtu yeyote. We are living in a free society kila mtu aishi apendavyo kwa mujibu wa katiba.