chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,379
- 5,887
Nchi nyingi Dunia hata hizi nchi zinazoitwa dunia ya tatu nchi inaweza kutoa msanii ambae anajulikana duania yote,mfano kama Yusoe ndur wa Senegal,Seif Keita mali,kofi Olimide nk,
Katika tafiti zanzgu katika Youtube kutaka kujua ni mwimbaji gani wa kitanzania anaekubalika Dunia kote nilishangaa kuona kuwa hakuna mwingine ispokuwa huyu dada Saida Karoli nyimbo kama Maria salome ilikuwa "big hit" katika nchi ya Equador america Kusini.
Nyimbo zake ambozo ziko kwenye Yuotube zinapata comments kutoka dunia kote,Jamica,USA,Serbie,kuna mpaka waliemfanananisha na MAria Makeba,kuna watu wametoa comments za kuja Tanzania kutembea baada kusikiliza nyimbo za huyu dada.
Swala langu artist kama huyu anaeoiaangaz Tanzania kwa kiwango kikubwa kama hichi,Tanzania wamempa tunzo gani,au wame-mpromoti
vpi,

Last edited by a moderator: