Matanzia kizebazeba
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 654
- 630
katika hali ya kusitajabisha,baada ya q chief kuongea na kutoa maneno mengi kua msanii diamond anatembelea nyota yake imezidi kujidhihirisha wazi kua msanii q chief amechoka na anatafta tu pa kulaumu wakati game ya sanaa imemshnda.
Jana q chief alifanya show mwnza licha ya show hyo kufanyika katika ucimamiz wa watu wanaojua game hlo namanisha B12,dj zero na weng but kjana kashndwa kabsa onesha performance ya maana ndan ya club fussion.
Jpange na fanya mazoez ucimsingizie diamond jpange la cvo kumshnda diamond wasanii wote bongo mtasubiri