Kwa wapenzi wa spy series kam 24

Kwa wapenzi wa spy series kam 24

g4cool

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
431
Reaction score
211
jamani mi nilikuwa mpenzi mkubwa wa 24 series, hivi kuna series gani nyingine mpya yenye muonekano wa kama 24?? yaani ya kispy spy?? tusaidiane wakubwa
 
Tafuta Hawaii Five - O ...inavutia sana..au kama vipi uingie kwenye ulimwengu wa CSI series, hizi zipo nyingi sana na ni mambo ya upelelezi tu!!
 
Missing mkuu na yenyewe ni nzuri sana,japo season2 haijatoka bado.
 
unaweza cheki Homeland,Nikitta,undercovers kidogo zinajitahidi..
 
homeland iko season ya ngap? nikita naifuatilia nshachek mpaka season 3, yule demu noma
 
Back
Top Bottom