Wimbo wa mpoto

Wimbo wa mpoto

Grenvil

Senior Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
180
Reaction score
16
Habarini wana jf wenzangu naomba mtu mwenye wimbo wa mpoto chochea kuni ninashida nao aniwekee hapa
 
'hawa jamaa wanao-burn nyimbo kwenye vibanda huwa hawakosi nyimbo mi nadhani unge-check na wale hawa jamaa wana ngoma hata msanii haja-release wao sjui wanapata wapi aisee,check them'
 
Mi nina shida na tafsiri hasa ya kupata maana katika baadhi ya mashairi ya nyimbo zake. Mfano wimbo ahsanteni kwa kuja pale anaposema, " kila anayekuja anakitambaa mkononi tena kimelowa" . Je anamaanisha nini? Kwa anayejua anifafanulie.
 
Back
Top Bottom