Wakuu nimekumbuka enzi hizo nikiwa mdogo mdogo kulikuwa na muvi moja ya kikomando tulikuwa tunaipenda sana (mimi na vijana wenzagu enzi hizo). Stelingi wake tulikuwa tunamwita 'Komando chambo'...
WANAWAKE WAUNGANA KUSUSIA BIDHAA NA MAONYESHO YA MWANAMUZIKI DIAMOND
Ni kwa Kumdhalilisha Bi. Wema Sepetu kwa kumrekodi katika simu na kusambaza mazungumzo nyeti!
Kitendo cha Mwanamuziki wa...
Toleo jingine la wimbo maarufu wa mapenzi, pengine kuliko zote zilizowahi kuimbwa barani Afrika. Wimbo huu umeimbwa na Miriam Chemmoss, msanii wa muziki mwenye mizizi ya Kenya na Tanzania...
No one knows why music has such a potent effect on our emotions. But thanks to some recent studies we have a few intriguing clues.
New music 'rewards brain'
Why do we like music? Like...
WASALAAM WAPENZI WA HIPHOP ...
NAOMBA MSUPPORT HII MOVEMENT HAWA VIJANA WANATOA DARASA KILA JUMAMOSI KWA NJIA YA FREE STYLE /MITINDO HURU .. NI VIJANA WATAMADUN MUZIK WAKINA ONE THE INCREDIBLE...
ryt now kuna habari ndani ya bbc, world news.....
wanajaribu kueleza kwa ufupi historia ya bi.kidude ya kimziki na umahiri wake..
i cant believe kumbe alikuwa na heshima kubwa hivi hata nje ya...
Mwana mitindo maarufu LINDA BEZUIDENHOUT (LB) HONORED AS A JUDGE FOR THE MISS, MS, MRS GEORGIA PLUS AMERICA BEAUTY PEAGANT 2013.
Check this link FASHION DESIGNER LINDA BEZUIDENHOUT HONORED AS A...
Wadau nina story moja ambyo nilipata kusoma kutoka katika one of the african short novel,story hii ni nzuri sana kama ikichezewa movie kibongo bongo tena itakuwa ya kipekee kabisa.Sasa kama kuna...
MWAKA huu wadau wa filamu nchini wana nafasi adimu ya kujitanua zaidi kisanaa baada ya Tamasha la kimataifa la filamu nchi za majahazi (ZIFF), kuandaa shindano la uandishi wa muswada ya filamu...
Hi!
Movie zenu nyingi hazina ulazima wa kuwa na part 2, na kama zina ulazima basi jazieni story kwenye hizo movie zenu.
Movie zenu nyingi zinaisha katika style ambayo si za kitaalamu kwa wale...
SAFARI YA MWISHO YA BI KIDUDE YATIMIA!
Posted by Global Publishers on April 18, 2013 at 1:41pm
View Blog
Mwanamuziki mkongwe, Bi Kidude binti Baraka aliyefariki dunia jana amezikwa leo mchana...
Over half of Justin Biebers Twitter followers are fake accounts, according to a new report. The singer was crowned the most-followed person on Twitter earlier this year, but new data shows that a...
Wadau...katia hili tangazo,kibonde anaongea kwa mapozi ya kishoga sana...naomba niseme wazi kuwa si nia yangu kumharass Kibonde ila kila nikiwa kwenye gari nikilisikia naona jamaa anaongea karibu...