Safari ya mwisho ya bi kidude katika pich

Safari ya mwisho ya bi kidude katika pich

Shadow

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2008
Posts
2,897
Reaction score
679
[h=1]SAFARI YA MWISHO YA BI KIDUDE YATIMIA![/h]


Mwanamuziki mkongwe, Bi Kidude binti Baraka aliyefariki dunia jana amezikwa leo mchana huko Zanzibar na katika mazishi hayo alihudhuria Mhe. Rais Dr. Ali Mohamed Shein. Pichani ni jeneza la marehemu Kidude likielekea makaburini.
Mhe. Rais na viongozi wengine wakitoa heshima zao za mwisho mbele ya marehemu Bi Kidue kabla ya kuhifadhiwa kwenye jeneza. Msanii Naseeb Abdul ,Diamond; naye alikuwepo kutoa heshima zake za mwisho. Sehemu ya umati uliohudhuria mazishi hayo upande wa kina mama Mhe. rais wa zanzibar Dr Shein alipokuwa akiwasili kwenye mazishi hayo.PICHA: IMELDA MTEMA-GPL-ZANZIBAR
 
Back
Top Bottom