Nakapanya
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 2,096
- 709
Wadau nina story moja ambyo nilipata kusoma kutoka katika one of the african short novel,story hii ni nzuri sana kama ikichezewa movie kibongo bongo tena itakuwa ya kipekee kabisa.Sasa kama kuna mtu ana utaalamu wa kuandika script tuwasiliane ili tufanye hiyon kitu.Mimi si mtaalamu wa masuala ya movie so anyone with knowledge on that is invited.
NOTE: VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA.
NOTE: VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA.