Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Word Up!!! Hopefuly weekend mswano.....kuna jambo naliona sana siku hizi kwenye majukwaa ya matamasha mbalimbali pindi wanapopanda wasanii wa muziki wa Hiphop,suala la kutokuwa na watu wa kubreak...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi guru's any one with this movies complete series.Kindly share with me.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam wakuu, Pasi shaka kwa wapenzi wenzangu wa 24 (nimeirudia mwanzo-mwisho 3times) kuna baadh ya matukio ulitokea kuyakubali sana. Hebu tushee hapa: Kwa upande wangu, mwanzoni kabisa hakuna...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wandugu ninaomba anaeujua jina lake halisi wimbo wa African Stars band a.k.a Twanga pepeta International we vionjo vya "SUGUA KISIGINO" naomba atupie jina lake hapa ili niweze kuutafuta.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wasalaam wana jamvi!! Naomba mwana jamvi mwenye nyimbo hizi mbili zilizo katika high quality aziupload nitadownload nimetafuta kwenye net lakini nimepata zilizo na low quality nyimbo zenyewe ni...
0 Reactions
0 Replies
951 Views
IRENE UWOYA "SHIGONGO ANANICHAFUA KWENYE MAGAZETI YAKE SABABU NINA KESI NAYE MAHAKAMANI" Ukurasa wa mbele wa gazeti la Risasi la leo Jumamosi (Sept 14) umetawaliwa na habari...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Duh wakuu leo karibia siku nziMa nimekuwa nasikiliza wimbo huu hakika ulinifanya nimchimbe muimbaji wa nyimbo hii Ti kwenye google kwanza nimekumbuka mbali sana hasa mashairi na chorus aliyoimba...
0 Reactions
1 Replies
899 Views
..."we Tatu kidonda chako kwangu maradhi" SIJAMUELEWA DOGO, ISIJEKUWA FUMBO LA TUSI!
0 Reactions
12 Replies
4K Views
First time I heard house rhythms in 2010 when I was in Botswana,very popular kinda of music down there, it was a bit annoying at first...As days went on I fell in love with this kind of tone...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
http://www.youtube.com/attribution_link?u=%2Fwatch%3Fv%3D_y4QUr1AltY%26feature%3Dshare&a=_wgcTY2xr7MZCtiT8WudVA
0 Reactions
13 Replies
3K Views
kama hujaona hii sinema itafute uangalie to me it is worth to sitdown and watch 2 Guns ya Mark Wahlberg na Denzel Washigton
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Kwa wadau wa movie Filamu mpya ya Anton Fuqua THE OLYMPUS HAS FALLEN inaangukia kwa star Gerald Butler anayecheza kama mwana usalama aliyepoteza ajira yake kutokana na kifo cha first lady...
5 Reactions
72 Replies
9K Views
Naomba kama kuna link au site yenye miziki ya zamani kutoka DRC zamani Zaire kama ya Ochestra Veve,Super Mazembe nk niweze kudownload mniwekee kwa yeyote nayefahamu tafadhali.
2 Reactions
3 Replies
7K Views
EA radio wameweka wazi majina ma4 ya wasanii kutoka bongo land watakao perform ktk stage moja na wakali toka Nigeria(p-square) wakali hao ni Prof.J,Lady jd,Ben Pol&Joh Makini! what z ur opinions...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
My eternal ina epsode 203 lakn Star Tv, hawajaifikia, hata epsode ya 100, walikuwa wanatuzingua au vp?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu! Naomba kujuzwa wapi naweza kujirusha Leo? Sikuwa dar kwa muda kidogo,Nimerud na nina hamu ya kwenda music waungwana! Music wa bend km twanga pepeta,Extra bongo,FM academia na km...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tazama video mpya kutoka kwa mwanadada Shaa katika wimbo uitwao Sugua Gaga chini ya usimamizi wa kampuni ya Mkubwa na Wanae ya Said Fela. http://youtu.be/dAXYlpnTuOE
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Jamani kuna ngoma inachezwa mkoa wa MBEYA inaiywa LING'OMA kweli toka nimeanza kuangalia ngoma za kiasili sijaona ngoma inayo chezwa vizuri kama ngoma ile,yani huwezi kuchoka kuiangalia is the best
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Msanii hard mad ametoa single yake mpya aliyoiita NAISHI GHETO,mad aliyevaa uhusika wa YAHAYA kajibu maswali yote na vijembe alivyorushiwa na jide.
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Hawa wanamuziki kutoka nchini Congo huwa wanajituma sana jukwaani,nikiangali nyimbo hii kwenye dakika ya 8:58 namuona repa baada ya kumaliza kurep anamkimbilia mkaanga chipsi(mpiga drum)ili...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…