Zilipendwa mwenye wimbo huu msaada

Zilipendwa mwenye wimbo huu msaada

Kibukila

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
925
Reaction score
371
Naomba mwenye huu wimbo aniwekee.Ni wimbo wa Zilipendwa lakini jina lake silijui ila baadhi ya mashairi yake ni kama ifuatavyo;
“Kumbuka matesi uliyonipa kulala njaa na watoto mateso yako siwezi kuyasahau.Kila nikipita wageuza shingo utadhani feni Bwana ooh Bwana.”
 
Penzi haligawanyiki na Vijana Jazz wana pambamoto...shambulia chini yake sauti ya chiriku Hemedi Maneti mwana Tanga. Looooh Mungu Mlaze mahali anapostahili....

Unataka uwekwe hapa au utumiwe kwenye barua pepe?
 
Penzi haligawanyiki na Vijana Jazz wana pambamoto...shambulia chini yake sauti ya chiriku Hemedi Maneti mwana Tanga. Looooh Mungu Mlaze mahali anapostahili....

Unataka uwekwe hapa au utumiwe kwenye barua pepe?

Asante sana.Naomba unitumia kwenye Barua pepe kupitia jkibukila@gmail.com
 
Naomba mwenye huu wimbo aniwekee.Ni wimbo wa Zilipendwa lakini jina lake silijui ila baadhi ya mashairi yake ni kama ifuatavyo;“Kumbuka matesi uliyonipa kulala njaa na watoto mateso yako siwezi kuyasahau.Kila nikipita wageuza shingo utadhani feni Bwana ooh Bwana.”
Jina la wimbo ni Penzi Haligawanyiki Namba 2. Ulirekodiwa na Vijana Jazz mwaka 1988. Waimbaji walikuwa ni Hemedi Maneti (RIP), Adam Bakari (RIP), Eddy Sheggy (RIP) na Kida Waziri. Solo alipiga Shabani Yohana 'Wanted'. Huu hapa:
 

Attachments

Similar Discussions

Back
Top Bottom