Sauti ya NIKAE

Sauti ya NIKAE

Wajad

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
1,321
Reaction score
604
Sauti ya NIKAE wanafunzi tuungane
Sauti ya NIKAE watumishi tuungane
Hakuna jengine sasa×3
............. tuungane
Kudumishwa kwa NIKAE hapa shuleni, sekondari
............. tunafurahia
Iliyobaki kwetu sote tuungane, kuiunga mkono NIKAE shuleni
Nidhamu ee ee na
Kazi ee ee
Elimu ee ee
Ni ngao yetu eee
Mungu tubariki
........... tuongoze
NIKAE itawaleeeeeee
........... twende mbeleeee
 
Sauti ya NIKAE ni wimbo ulio asisiwa na somebody Malifedha, alikuwa Second Master wa shule fulani, 1986. ''...nikitaka niishi vizuri inanibidi NIKAE..." alisema Malifedha, alipoombwa kufafanua ndipo aliposema NI= Nidhamu, KA = Kazi, E = Elimu. Baada ya hapo ndipo ulipotungwa wimbo " Sauti ya NIKAE " na NIKAE ikawa 'slogan' ya shule.
 
Itaje shule yenyewe, au unaionea aibu maana siku hizi ni full migomo na migogoro ya kidini.
 
I mic my school, NIKAE, baga beach love youuuuuuu and live longer!
 
Enzi hizo ilikuwa shule nzuri sana, imeharibika miaka ya karibuni (after 1993)
 
Bilalo? Kihawa, Tibikunda na Kibatala ndiyo walikuwa ma-headmaster wetu kwa nyakati tofauti Kidato cha kwanza hadi kidato cha nne.
 
Malifedha alikuwa Secondmaster hadi tunamaliza. Nimemkumbuka Emanulov na Mashkov walimu wangu wa hisabati na fizikia (wote Warusi) Popote mlipo "Kak dyeraa?"
 
Bilalo? Kihawa, Tibikunda na Kibatala ndiyo walikuwa ma-headmaster wetu kwa nyakati tofauti Kidato cha kwanza hadi kidato cha nne.

huyo Kihawa nadhani ndiye aliyekuja kuwa head pale city high school kwa sasa benjamin m.h.school na kama ndiye basi kwa sasa ni marehe...daaah! r.i.p master
 
Hii mada ilibidi iende jukwaa la Elimu,
btn Magambani nimeimiss sana, kuna jamaa alikua mnoko anaitwa Man Shida, pia Kitungwa na mama Kitembe walikua hatari, jioni nilkua naenda kula Kaole
 
R.I.P Mr. Kihawa na wengine wote waliotangulia. Namkumbuka GANGWE mwl. wa Jiografia, Mabo (marble), Okwonkwo, Domo la shaba, Kingalu, Kisanga, Bujubwa, Semwaiko, Nehemia, Mgase, Mgaza, Prof. Biruko, Sadik, 'wa-kubuzi', Mbuligwe, daaa! Nimekumbuka mbaali sana leo!
 
Back
Top Bottom