Ngosi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 391
- 191
Habari wana Jamvi
kuna nyimbo flani ya zamani nakumbuka tu mistari yake inambwa hv "mama mdogo ananitess njoo unichukue haraka" ila kwa sasa imetoka katika version mpya nadhani wameirudia, mwenye link au kama unao naomba uuweke hapa JAMVINI
ahsani
Jmoc njema